Uchaguzi USA 2024: Kamala hana mpinzani na atashinda asubuhi!

 
Unaandika kishabiki maandazi tu. Hujaangalia global politics. Sera za Trump za kumaliza vita vya Ukraine, kuzuia wahamiaji haramu Marekani, kukemea ushoga (LGBT), kuongeza uzalishaji viwandani na kuweka kodi nafuu vinamfanya Trump awe chaguo la wengi
 
Unaandika kishabiki maandazi tu. Hujaangalia global politics. Sera za Trump za kumaliza vita vya Ukraine, kuzuia wahamiaji haramu Marekani, kukemea ushoga (LGBT), kuongeza uzalishaji viwandani na kuweka kodi nafuu vinamfanya Trump awe chaguo la wengi
Ulichoandika ni uongo mtupu. Nadhani huijui siasa za USA kwa kina.
Trump hawezi kuimaliza vita ya Ukraine kwa sababu hakuianzisha yeye, vita ya Ukraine itakwisha siku Putin akishindwa vita au akiitwaa ukraine yoyote. Trump anasimama wapi katika hilo?

Kuhusu uzalishaji viwandani, Biden amekuwa ni rais bora kuliko wengi katika hilo, rekodi ambayo Trump hakuwahi hata kuiwaza.
Suala la LGBT kwa marekani linalindwa na sheria za kupinga upaguzi wa rangi na wahamiaji, hakuna namna Trump anaweza kukabiliana nalo bila kuipasua USA vipande vipande. Na makundi yenye mlengo wa kuunga mkono hayo ndio makubwa zaidi na yaliyobeba wapiga kura wengi wazuri kwa zaidi ya 70%. Trump apingane nayo halafu apigiwe kura na nani?

Kuhusu vita, anza kujiuliza mtazamo wa Trump kuhusu mashariki ya kati (ambapo kitisho cha vita ya dunia ni kikubwa zaidi), Trump anaunga mkono msimamo wa Israel kuendeleza vita na Kamala Harris anataka zaidi mazungumzo ya amani kusitisha vita. Na kanuni rahisi ya kihistoria huwa, Republican ni wapenda vita zaidi huku Democratic ni wapenda mazungumzo zaidi kwenye mizozo.

Mwisho kabisa ukitaka kujua ni kwanini Kamala Harris huenda atashinda urais kirahisi sana nenda kaangalie ni kwanini 2008 Democratic walimpitisha Obama kugombea urais na mwisho wamerekani wengi wakampigia kura na kushinda uchaguzi. Uchaguzi huu ni kama marudio ya mwaka 2008.
 
Nonsense
 
Mwaka-Trump hana tofauti na Magufuli kabisa,

Trump kila akisimama ni kusema Marekani imechezewa na inachezewa, sasa watu wa Tanganyika wao makofi tu, wazungu hawapo hivo

Mitume na manabii wanaotanganza ushind kwa Trump wataficha wapi uuso
Tumia akili
 
Trump anapita mapema sana
 
While I am for her winning it is not as easy as you think. Trump still has a chance to 270 votes comes November. She need to lock in Pennsylvania, Wisconsin, Michigan while holding her ground in traditional Democrats states. She still need to campaign hard.
In 2016 Clinton thought she had the presidency only losing it at the last day!
 
Subiri hii convention mjini Chicago iishe na Kamala apitishwe rasmi kuwa mgombea, ushuhudie kampeni ya aina yake...YES SHE CAN!
 
Subiri hii convention mjini Chicago iishe na Kamala apitishwe rasmi kuwa mgombea, ushuhudie kampeni ya aina yake...YES SHE CAN!
Sikukatalii kuhusu kampeni ila awe makini sana. She is still a women, a liberal from San Fransisco bay area. If Trump can tie her to all the liberal policies of California then he still has a chance to clinch the presidency come November. Trump need discipline and that is all because most American trust him on economy and that is what matter. She need to come to the middle as she was for healthcare for all, banning fracking while it is an industry that can make or break you in Pennsylvania, Ohio. She need to trade very carefully on the issues or else she shall see all her leads evaporating in the election night.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…