Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Una hali gani huko uliko?Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.
Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!
Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.
Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Chill outSijui ukiisoma hii post unajidikiaje
Mbona hujibu meseji ewe mpenda makalio??? Hahaha mmepigwa mapemaaKwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.
Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!
Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.
Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Ewe kalios upo wapi?Sikushangai hata kidogo ndugu yangu kwani mwaka 2008 wapo walionena hivyo hivyo kwamba Obama hawezi kuwa Rais wa Marekani...Obama alipata ushindi wa kishindo.
Miaka kumi na sita baadaye, leo huyo huyo Obama alikuwa jukwaani akimnadi Kamala! Laiti ungefualitia yanayojiri kwenye convention ya DEMS...moto ulikuwa ni ule ule wa 2008!
Siasa za Marekani na siasa za Tanzania ni kama mbingu na ardhi. Nimekufuatilia kidogo humu ndani hivyo sikushangai kwa msimamo wako wa CCM kutawala Tanzania milele.
Je amepata mpinzani au bado?Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.
Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!
Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.
Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Tena Urambo Yenyewe KapilulaHaya ndio matokeo ya mchambuzi wa masuala ya kimataifa toka Urambo Tabora,kuuchambua uchaguzi wa US.
Mkuu, unaweza kurudia tena maneno yako?Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.
Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!
Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.
Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Wewe mburula labda ulikuwa unamaanisha USA ya pale Arusha kati ya Tengeru na MajiyaChaiSiku chache kabla ya uchaguzi niliandika hivi,
"Sisemi kwamba Trump hawezi kushinda lakini ikitokea Trump
pamoja na vituko vyake vyote, past and present, akashinda,
nitakiri kuwa the USA, niliyokuja kujiaminisha kwamba naijua, siijui!"
Laiti ungejua...
View attachment 3144971
View attachment 3144973
Wewe bwege uko wapi tukutane jumatano tayari?? The Palm Beach kumbe mnabisha tu hata sisi ma legend tuliofuatilia kuanzia uchaguzi wa Gerald Ford??Likely wewe hufuatilii harakati za uchaguzi huu wa USA closely...
Iko hivi ndugu Huihui2...
Asian...!!
Niko hapa, tukutane Jumatano au alhamisi tupeane mrejesho...
Tanganyika iko wapi kwenye ramani ? Je kwenye orodha ya mataifa huru chini ya UN Tanganyika iko namba ngapi?I am not biased...
I hate no body.....
I write/speak the truth...
Samia Suluhu Hassan si Mtanganyika, ni Mzanzibari...
Zanzibar ni nchi nyingine (sema nchi ya kigeni). Tanganyika ni nchi nyingine separate kabisa na Zanzibar...
Kwa facts hizi inawezekanaje Mzanzibari awe Rais wa Tanganyika? Kwa sbb ya hiki kinachoitwa "Muungano?"
Ok. Ni muungano. Je, ndiyo tuliungana kwa namna hii? Mshirika mmoja wa muungano ku - undermine sovereignty ya mshirika mwenzake...?
NO WAY. USHIRIKA WA NAMNA HII UNA MAKOSA MAKUBWA NA HAUFAI HATA KIDOGO....!!
Unadhani inawezekana vipi Mtanganyika kama Tundu Lissu akawa Rais wa Zanzibar?
Kwanini iwezekane kwa Mzanzibari kuwa kiongozi wa level ya u - Rais Tanganyika na usiwe hivyo kwa Mtanganyika huko Zanzibar...?
Kama huioni kasoro hii, basi iko shida kwenye ufahamu wako....!
My stand is always: Samia Suluhu Hassan si raia wa Tanganyika. Ni raia wa Zanzibar na kwa sababu hii ni makosa makubwa kuwa kiongozi mkuu wa nchi ya Tanganyika....!!
Kuna wakati nakuona ChoiceVariable kama mjuwaji wa global politics and economy. Ila kwa hiyo post yako ya juzi imekufanya uonekane mburula sana.Mambo yameshaoinduka Kwa Kamala ndugu Bora ufute Uzi tuu 😄😄
Ni kweli uliyoyatarajia yameonekanaHakuma kufuta tutaruka nae ,,yaani Harris ashinde,North Carolina, Arizona, Georgia???
🤣🤣🤣Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.
Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!
Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.
Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Post ipi hiyo?Kuna wakati nakuona ChoiceVariable kama mjuwaji wa global politics and economy. Ila kwa hiyo post yako ya juzi imekufanya uonekane mburula sana.
Unamaanisha asubuhi ya lini hapa mkuu, kesho au kkutwa? Maana muda wa kuhesabu kura unaenda mkuuKwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.
Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!
Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.
Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Siasa za Marekani; iweke sawa.Mchambuzi wa masuala ya siasa kutoka katavi...