15 December 2022
LIVE UCHAGUZI WA BUNGE LA WANANCHI CHADEMA
Wagombea waelezea jinsi wanavyoweza kulitumikia Bunge la Wananchi la CHADEMA
Source: ZAMAMPYA TV
www.jamiiforums.com
Katika hotuba yake Mwenyekiti wa Chadema amewatambulisha wabunge wa bunge la wananchi. Hi concept nimependa Sana. Hivyo inabidi chadema waifanyie kazi na kuanzisha hata vikao vyao.
1. Litakuwa na uwezo wa kujadili Mambo yanayo wagusa wananchi moja kwa moja.
2. Litakuwa na uwezo wa kukosoa serikali kwa uwazi.
3. Litakuwa na uwezo wa kuleta bajeti mbadala.
4. Litakuwa na uwezo wa kuishauri serikali kwa uwazi.
Nawapongeza chadema kwa ubunifu huu.
15 December 2022
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe azungumzia nafasi ya Bunge la Wananchi la CHADEMA
LIVE UCHAGUZI WA BUNGE LA WANANCHI CHADEMA
Wagombea waelezea jinsi wanavyoweza kulitumikia Bunge la Wananchi la CHADEMA
Source: ZAMAMPYA TV
Nimependa concept ya CHADEMA ya Bunge la Wananchi
Katika hotuba yake Mwenyekiti wa Chadema amewatambulisha wabunge wa bunge la wananchi. Hi concept nimependa Sana. Hivyo inabidi chadema waifanyie kazi na kuanzisha hata vikao vyao. 1. Litakuwa na uwezo wa kujadili Mambo yanayo wagusa wananchi moja kwa moja. 2. Litakuwa na uwezo wa kukosoa...