Uchaguzi wa CHADEMA 2025 na uchaguzi wa TLS 2017

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
I don’t have a dog in the fight, but I’m starting to see similar kind of vibes between 2017 and 2025 in relation to Tundu Lisu.

Mwaka 2017 Lisu aligombea urais wa TLS. Kabla ya uchaguzi huo, washabiki wa Lisu walikuwa vocal sana, hususan humu mitandaoni.

Ilikuwa huwaelezi kitu kuhusu huyo ‘mpendwa’ wao.

Tuliojaribu ku-reason nao na kuwaambia kwamba wayadhibiti matarajio yao kuhusu huo urais wa Lisu kwa sababu Rais wa TLS hana mamlaka yoyote yale ya kuleta mabadiliko, walijaribu kutuzima kwa kelele zao.

Nikiri kuwa Tundu Lisu ndiye mwanasiasa pekee, kwa mtazano wangu mimi, aliye na washabiki walio rabid sana Tanzania nzima.

Wengi wa hawa washabiki wa Lisu, wako delusional.

Mfano, ukiwaambia kwamba Lisu hawezi kushiriki mashindano ya mbio za riadha ya mita 100, watakubishia na kukufokea na wengine watadiriki hata kusema hakuna wa kumshinda Lisu kwenye mbio, hata awe Usain Bolt 🤣.

That’s their level of delusion. Lisu delulus 😀.

Tulichowaonya kipindi hicho ndicho kilichokuja kutokea. Lisu hakuleta tofauti yoyote huko TLS. Na mpaka leo hiyo TLS ipo ipo tu kama ilivyowahi kuwepo kuwepo huko nyuma.

Fast forward to now, 2025. Uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA unafanyika wiki ijayo.

Kiongozi wao huyo mpendwa [Dear leader] kaamua kugombea nafasi ya uenyekiti ambayo mwenyekiti wa sasa, Freeman Mbowe, naye anagombea.

Uamuzi huo wa Lisu umezua mtafaruku mkubwa sana kwenye hicho chama.

Na kama ilivyo ada kwa hao washabiki wa Lisu, huwaambii kitu kuhusu huo ugombeaji wa Lisu.

Kila kona wanamshambulia Mbowe. Mwenyekiti wao huyo kageuka kuwa adui sasa.

Anaitwa kila aina ya majina. Anapakwa kila aina ya matope.

He [Mbowe] is now persona non grata! Who’d a thunk it?

Lisu ni mpiga kelele mzuri kuliko alivyo kiongozi. Sitegemei yoyote yale makubwa na yaliyo tofauti endapo atashinda huo uenyekiti.

Ambacho ataendelea kukifanya ni kuwakosha wapenzi wake [preaching to his choir] kwa histrionics zake.

Watamsifia kila kukicha kwamba hamung’unyi maneno, hivi, na vile.

But, at the end of the day, when one scratches beneath the surface, it’ll be discovered that nothing much changed.

Just more of the same with enhanced theatrics. You can quote me on that.
 
KWAMBA LISSU TLS hajafanya kitu?amehudumu kwa muda gani?Je fujo alizofanyiwa(kutaka kuuliwa) unadhani zilikuwa kwanini?Labda
Umkatae Lissu kwakusema Unampenda Mbowe lakini sio kwahoja ya udhaifu wa uongozi wake..
 
I don’t have a dog in the fight, but I’m starting to see similar kind of vibes between 2017 and 2025 in relation to Tundu Lisu.

Mwaka 2017 Lisu aligombea urais wa TLS. Kabla ya uchaguzi huo, washabiki wa Lisu walikuwa vocal sana, hususan humu mitandaoni.

Ilikuwa huwaelezi kitu kuhusu huyo ‘mpendwa’ wao.

Tuliojaribu ku-reason nao na kuwaambia kwamba wayadhibiti matarajio yao kuhusu huo urais wa Lisu kwa sababu Rais wa TLS hana mamlaka yoyote yale ya kuleta mabadiliko, walijaribu kutuzima kwa kelele zao.

Nikiri kuwa Tundu Lisu ndiye mwanasiasa pekee, kwa mtazano wangu mimi, aliye na washabiki walio rabid sana Tanzania nzima.

Wengi wa hawa washabiki wa Lisu, wako delusional.

Mfano, ukiwaambia kwamba Lisu hawezi kushiriki mashindano ya mbio za riadha ya mita 100, watakubishia na kukufokea na wengine watadiriki hata kusema hakuna wa kumshinda Lisu kwenye mbio, hata awe Usain Bolt 🤣.

That’s their level of delusion. Lisu delulus 😀.

Tulichowaonya kipindi hicho ndicho kilichokuja kutokea. Lisu hakuleta tofauti yoyote huko TLS. Na mpaka leo hiyo TLS ipo ipo tu kama ilivyowahi kuwepo kuwepo huko nyuma.

Fast forward to now, 2025. Uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA unafanyika wiki ijayo.

Kiongozi wao huyo mpendwa [Dear leader] kaamua kugombea nafasi ya uenyekiti ambayo mwenyekiti wa sasa, Freeman Mbowe, naye anagombea.

Uamuzi huo wa Lisu umezua mtafaruku mkubwa sana kwenye hicho chama.

Na kama ilivyo ada kwa hao washabiki wa Lisu, huwaambii kitu kuhusu huo ugombeaji wa Lisu.

Kila kona wanamshambulia Mbowe. Mwenyekiti wao huyo kageuka kuwa adui sasa.

Anaitwa kila aina ya majina. Anapakwa kila aina ya matope.

He [Mbowe] is now persona non grata! Who’d a thunk it?

Lisu ni mpiga kelele mzuri kuliko alivyo kiongozi. Sitegemei yoyote yale makubwa na yaliyo tofauti endapo atashinda huo uenyekiti.

Ambacho ataendelea kukifanya ni kuwakosha wapenzi wake [preaching to his choir] kwa histrionics zake.

Watamsifia kila kukicha kwamba hamung’unyi maneno, hivi, na vile.

But, at the end of the day, when one scratches beneath the surface, it’ll be discovered that nothing much changed.

Just more of the same with enhanced theatrics.
Anawaza kupeleka watu barabarani tu
 
Umeandika nini Mkuu???
 
Sema napo hilo likurunzinza la machame linazingua.

Kwa upande mwingine Lissu anashabikiwa kwa sababu ya udikteta wa Mbowe kwenye Saccos yake.

Hauwezi ukawa mwenyekiti wa milele. Ni ujinga na upumbafu.
 
Mfahamu sultan ibn mbowe king'ang'anizi
IMG-20241206-WA0083(1).jpg
 
"Ni heri Dr. Slaa awe Rais, kuliko Lissu kuwa mbunge", Kikwete.

Public opinions huwa inaenda kulingana na situations za wakati husika, hilo najua unalijua Nyani.

Hata hapo Marekani, Trump kashinda Urais siyo kwa sababu ni bora sana, bali kwa nyakati hizi public inamuona ndiyo mtu sahihi kwa situations zilizopo.

Hata hapa Tanzania, public kwa sasa inamuelewa zaidi Lissu kuliko Mbowe.
 
Back
Top Bottom