Uchaguzi wa CHADEMA 2025 na uchaguzi wa TLS 2017

Hivi ulimwengu wa sasa mtu anajisifia ngeli kweli ama unamsifu mtu kwa kuandika ngeli kweli? Aisee.

Ama ndio yale Nyerere alisema, jambo la kipumbavu likisemwa kwa kingereza linaonekana la maana sana.
Sija msifia, nime eleza wengi Wana lalamika ni ngumu. Hawaja muelewa tu.
 
I don’t have a dog in the fight, but I’m starting to see similar kind of vibes between 2017 and 2025 in relation to Tundu Lisu.

Mwaka 2017 Lisu aligombea urais wa TLS. Kabla ya uchaguzi huo, washabiki wa Lisu walikuwa vocal sana, hususan humu mitandaoni.

Ilikuwa huwaelezi kitu kuhusu huyo ‘mpendwa’ wao.

Tuliojaribu ku-reason nao na kuwaambia kwamba wayadhibiti matarajio yao kuhusu huo urais wa Lisu kwa sababu Rais wa TLS hana mamlaka yoyote yale ya kuleta mabadiliko, walijaribu kutuzima kwa kelele zao.

Nikiri kuwa Tundu Lisu ndiye mwanasiasa pekee, kwa mtazano wangu mimi, aliye na washabiki walio rabid sana Tanzania nzima.

Wengi wa hawa washabiki wa Lisu, wako delusional.

Mfano, ukiwaambia kwamba Lisu hawezi kushiriki mashindano ya mbio za riadha ya mita 100, watakubishia na kukufokea na wengine watadiriki hata kusema hakuna wa kumshinda Lisu kwenye mbio, hata awe Usain Bolt 🤣.

That’s their level of delusion. Lisu delulus 😀.

Tulichowaonya kipindi hicho ndicho kilichokuja kutokea. Lisu hakuleta tofauti yoyote huko TLS. Na mpaka leo hiyo TLS ipo ipo tu kama ilivyowahi kuwepo kuwepo huko nyuma.

Fast forward to now, 2025. Uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA unafanyika wiki ijayo.

Kiongozi wao huyo mpendwa [Dear leader] kaamua kugombea nafasi ya uenyekiti ambayo mwenyekiti wa sasa, Freeman Mbowe, naye anagombea.

Uamuzi huo wa Lisu umezua mtafaruku mkubwa sana kwenye hicho chama.

Na kama ilivyo ada kwa hao washabiki wa Lisu, huwaambii kitu kuhusu huo ugombeaji wa Lisu.

Kila kona wanamshambulia Mbowe. Mwenyekiti wao huyo kageuka kuwa adui sasa.

Anaitwa kila aina ya majina. Anapakwa kila aina ya matope.

He [Mbowe] is now persona non grata! Who’d a thunk it?

Lisu ni mpiga kelele mzuri kuliko alivyo kiongozi. Sitegemei yoyote yale makubwa na yaliyo tofauti endapo atashinda huo uenyekiti.

Ambacho ataendelea kukifanya ni kuwakosha wapenzi wake [preaching to his choir] kwa histrionics zake.

Watamsifia kila kukicha kwamba hamung’unyi maneno, hivi, na vile.

But, at the end of the day, when one scratches beneath the surface, it’ll be discovered that nothing much changed.

Just more of the same with enhanced theatrics. You can quote me on that.
Nchi imeanza kuchangamka
 
Kama 100sa ni rais, basi lisu hatashindwa kuiongoza chadema, mbowe muda umefika apumzike
 
"Mfano, ukiwaambia kwamba Lisu hawezi kushiriki mashindano ya mbio za riadha ya mita 100, watakubishia na kukufokea na wengine watadiriki hata kusema hakuna wa kumshinda Lisu kwenye mbio, hata awe Usain Bolt [emoji1787]."

Huu mfano wako ni wa kipumbavu unampimaje samaki kwa uwezo wake wa kutembea nchi kavu?

besides kilicho nyuma ya huu mfano wako ni ku m mock tu Lissu na Ulemavu wake

Hopeless kabisa wewe
 
Hata hili niliisha wauliza sana humu, Alifanya nini TLS wakanitukana, ni mewauliza Alipokuwa mwanasheria mkuu wa chadema alifanya nini wakanitukana, kawa makamu mwenyekiti wa chadema miaka mitano kafanya nini, bado wananitukana.

Wao kwao Lisu ni Mungu, anaweza kila kitu lakini hwanauwezo wa kukuonyesha au kukueleza alichofanya kama sehemu ya mafanikio ya nafasi alizowahi kuzishika.

Ni mwansherii lakini sijui ana oparate vipi, Juzi hapa alisoma gazeti la The gurdian la huko UK, Akaita press akaanza kubwabwaja, Mara Tigo walihusika kutoa mawasiliano yangu nitawafunga, mara Makonda alihusika katika jaribio la kuniua.

Nilimuomba mtu huko UK anitumie kipande cha gazeti lililosema Tigo walishiriki mipango hiyo, au popote lilipoandika Makonda alihusika, jamaa akasema yule mtu alikuwa anahojiwa kwa issue tofauti kabisa, hata hazikuwa zinahusiana na Lisu.

Sasa jiulize, huyo ni mwansheria anaropoka vile kwa kusoma gazeti, angekuwa na ushahidi wa rushwa anazoimba kila siku si angelala studio ana record matusi dhidi ya Mbowe?

Ushahidi hana, ni vimaneno wanapeana vya kudanganyana mitandanoni na vijiweni yeye ana peleka kwenye media, huyu mtu wansema ni kichwa anaweza kuongoza Chadema.

Sasa hivi yeye ni Makamu mwenyekiti, anatamba na cheo lakini hafahamu majukumu ya nafasi aliyonayo, lakini anamkosoa kila mtu nchi hii, kasoro yeye.

Yeye naye analia eti katiba ya CHADEMA ni mbovu, unaweza kuamini huyo mtu anajielewa kweli?

Mwanasheria, aliyeshindwa kuisuka katiba ya chama chake, lakini analalamikia katiba ya JMT.

Mwanasheria aliyeshiriki maridhiano, lakini hakuelewa walikuwa wanaridhiana nini, lakini kuna mambo walikubaliana.

Sasa wafuasi wake wanamtukana kila asiyemkubali, kwasababu wanahisi wasiompenda watamkosesha kura.

Walipoanza walitaka Mbowe asigombee, nikawauliza huyo lisu mnataka apite bila kupingwa?

Wanamtaka Lisu hata wanasahau uchaguzi ni demokrasia.
Pathetic reasoning, kuwa kiongozi wa TLS kwa mwaka mmoja ulitaka afanye nini? Kabla yake na baada yake walikuwepo viongozi wengine TLS wamefanya nini ili utupe comparison.

Kuwa mwanasheria mkuu wa CHADEMA ulitaka afanye nini na kabla na baada ya yeye kutoka walifanya nini ili tuone kuwa alifanya vibaya alipokuwa mwanasheria wa CHADEMA.

Kama ameona katiba ya CHADEMA ni mbovu haruhusiwi kusema? Je yeye peke yake alikuwa ana uwezo wa kubadilisha katiba ana ni kosa kuonyesha kasoro?

Kumsapoti Lissu tunamuona Mungu, ila nyie kumsapoti Mbowe sawa? Ni wapumbavu tu wanaolazimisha upumbavu ukubaliwe na kila mtu. Katika yote yanayozungumzwa na wote wenye courage ya kumkosoa Mbowe, Lissu, Lema, Wenje, Slaa, Msigwa nk hawana akili bali nyie na Mbowe?

Ameanza kuwa liability baada ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA na mpenzi wenu Mbowe? Kwa upumbavu kila post aliyoshika unataka kutulazimisha hakufanya kitu, utakuwa ni juha wewe.

CHADEMA walikuwa ni majuha kumreua kuwa mgombea urais 2020 au wewe ni juha kwa mapenzi yako kwa Mbowe?
 
I don’t have a dog in the fight, but I’m starting to see similar kind of vibes between 2017 and 2025 in relation to Tundu Lisu.

Mwaka 2017 Lisu aligombea urais wa TLS. Kabla ya uchaguzi huo, washabiki wa Lisu walikuwa vocal sana, hususan humu mitandaoni.

Ilikuwa huwaelezi kitu kuhusu huyo ‘mpendwa’ wao.

Tuliojaribu ku-reason nao na kuwaambia kwamba wayadhibiti matarajio yao kuhusu huo urais wa Lisu kwa sababu Rais wa TLS hana mamlaka yoyote yale ya kuleta mabadiliko, walijaribu kutuzima kwa kelele zao.

Nikiri kuwa Tundu Lisu ndiye mwanasiasa pekee, kwa mtazano wangu mimi, aliye na washabiki walio rabid sana Tanzania nzima.

Wengi wa hawa washabiki wa Lisu, wako delusional.

Mfano, ukiwaambia kwamba Lisu hawezi kushiriki mashindano ya mbio za riadha ya mita 100, watakubishia na kukufokea na wengine watadiriki hata kusema hakuna wa kumshinda Lisu kwenye mbio, hata awe Usain Bolt 🤣.

That’s their level of delusion. Lisu delulus 😀.

Tulichowaonya kipindi hicho ndicho kilichokuja kutokea. Lisu hakuleta tofauti yoyote huko TLS. Na mpaka leo hiyo TLS ipo ipo tu kama ilivyowahi kuwepo kuwepo huko nyuma.

Fast forward to now, 2025. Uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA unafanyika wiki ijayo.

Kiongozi wao huyo mpendwa [Dear leader] kaamua kugombea nafasi ya uenyekiti ambayo mwenyekiti wa sasa, Freeman Mbowe, naye anagombea.

Uamuzi huo wa Lisu umezua mtafaruku mkubwa sana kwenye hicho chama.

Na kama ilivyo ada kwa hao washabiki wa Lisu, huwaambii kitu kuhusu huo ugombeaji wa Lisu.

Kila kona wanamshambulia Mbowe. Mwenyekiti wao huyo kageuka kuwa adui sasa.

Anaitwa kila aina ya majina. Anapakwa kila aina ya matope.

He [Mbowe] is now persona non grata! Who’d a thunk it?

Lisu ni mpiga kelele mzuri kuliko alivyo kiongozi. Sitegemei yoyote yale makubwa na yaliyo tofauti endapo atashinda huo uenyekiti.

Ambacho ataendelea kukifanya ni kuwakosha wapenzi wake [preaching to his choir] kwa histrionics zake.

Watamsifia kila kukicha kwamba hamung’unyi maneno, hivi, na vile.

But, at the end of the day, when one scratches beneath the surface, it’ll be discovered that nothing much changed.

Just more of the same with enhanced theatrics. You can quote me on that.
Ni kweli umeandika ila uzi hauna dhima.Vipi kuhusu "regase" ya jiwe?Nayo hauipendi?
 
"Mfano, ukiwaambia kwamba Lisu hawezi kushiriki mashindano ya mbio za riadha ya mita 100, watakubishia na kukufokea na wengine watadiriki hata kusema hakuna wa kumshinda Lisu kwenye mbio, hata awe Usain Bolt [emoji1787]."

Huu mfano wako ni wa kipumbavu unampimaje samaki kwa uwezo wake wa kutembea nchi kavu?

besides kilicho nyuma ya huu mfano wako ni ku m mock tu Lissu na Ulemavu wake

Hopeless kabisa wewe
Kumbuka,alianza na kiingereza chake cha "fomtu" ili akuvutie kusoma.
 
Hawataki mtu yeyote JF asiyemkubali Lisu, madikteta wanao mlalamikia Samia kuwa ni dikteta.
Ila Mbowe mnayemtetea siyo dikteta? Hulazimishwi kumkubali Lissu kama sisi tusivyokubali kulazimishwa kumkubali Mbowe majira hii? Kwa nini nyie hatuwaitu madikteta kwa kumkubali Mbowe? Mnalazimisha wote wamkubali Mbowe nani dikteta sasa?

Reasoning ya kipumbavu kweli kweli
 
mkuu,sijawahi kufukiria kichwa chako kina utelezi hivyo

wewe sio wakili ,angekuwa hakufanya kitu wasingemwelewa akimwombea kura mwabukusi
 
Kama Lissu hakuwa chochote wala lolote msukuma mwenzako Magufuli angempiga marisasi yote yale?
 
Hata hili niliisha wauliza sana humu, Alifanya nini TLS wakanitukana, ni mewauliza Alipokuwa mwanasheria mkuu wa chadema alifanya nini wakanitukana, kawa makamu mwenyekiti wa chadema miaka mitano kafanya nini, bado wananitukana.

Wao kwao Lisu ni Mungu, anaweza kila kitu lakini hwanauwezo wa kukuonyesha au kukueleza alichofanya kama sehemu ya mafanikio ya nafasi alizowahi kuzishika.

Ni mwansherii lakini sijui ana oparate vipi, Juzi hapa alisoma gazeti la The gurdian la huko UK, Akaita press akaanza kubwabwaja, Mara Tigo walihusika kutoa mawasiliano yangu nitawafunga, mara Makonda alihusika katika jaribio la kuniua.

Nilimuomba mtu huko UK anitumie kipande cha gazeti lililosema Tigo walishiriki mipango hiyo, au popote lilipoandika Makonda alihusika, jamaa akasema yule mtu alikuwa anahojiwa kwa issue tofauti kabisa, hata hazikuwa zinahusiana na Lisu.

Sasa jiulize, huyo ni mwansheria anaropoka vile kwa kusoma gazeti, angekuwa na ushahidi wa rushwa anazoimba kila siku si angelala studio ana record matusi dhidi ya Mbowe?

Ushahidi hana, ni vimaneno wanapeana vya kudanganyana mitandanoni na vijiweni yeye ana peleka kwenye media, huyu mtu wansema ni kichwa anaweza kuongoza Chadema.

Sasa hivi yeye ni Makamu mwenyekiti, anatamba na cheo lakini hafahamu majukumu ya nafasi aliyonayo, lakini anamkosoa kila mtu nchi hii, kasoro yeye.

Yeye naye analia eti katiba ya CHADEMA ni mbovu, unaweza kuamini huyo mtu anajielewa kweli?

Mwanasheria, aliyeshindwa kuisuka katiba ya chama chake, lakini analalamikia katiba ya JMT.

Mwanasheria aliyeshiriki maridhiano, lakini hakuelewa walikuwa wanaridhiana nini, lakini kuna mambo walikubaliana.

Sasa wafuasi wake wanamtukana kila asiyemkubali, kwasababu wanahisi wasiompenda watamkosesha kura.

Walipoanza walitaka Mbowe asigombee, nikawauliza huyo lisu mnataka apite bila kupingwa?

Wanamtaka Lisu hata wanasahau uchaguzi ni demokrasia.
Hujui Lissu alifanya nini TLS??

Alifanikiwa kuzuia Serikali kuifuta TLS kupitia Sheria ya Bunge ambalo hilo ndilo lilikuwa lengo kuu na Magufuli.

Aliifanya TLS kuendelee kuwa nguzo kuu ya kupinga udhalimu wa Magufuli.

Achana na kiumbe kinaitwa Lissu wewe. Nyie wasukuma wajinga lazima msimpende maana alishughulika sana na udhalimu wenu
 
"Mfano, ukiwaambia kwamba Lisu hawezi kushiriki mashindano ya mbio za riadha ya mita 100, watakubishia na kukufokea na wengine watadiriki hata kusema hakuna wa kumshinda Lisu kwenye mbio, hata awe Usain Bolt [emoji1787]."

Huu mfano wako ni wa kipumbavu unampimaje samaki kwa uwezo wake wa kutembea nchi kavu?

besides kilicho nyuma ya huu mfano wako ni ku m mock tu Lissu na Ulemavu wake

Hopeless kabisa wewe
I pity you fools.
 
Back
Top Bottom