Uchaguzi wa CHADEMA 2025 na uchaguzi wa TLS 2017

Hata hili niliisha wauliza sana humu, Alifanya nini TLS wakanitukana, ni mewauliza Alipokuwa mwanasheria mkuu wa chadema alifanya nini wakanitukana, kawa makamu mwenyekiti wa chadema miaka mitano kafanya nini, bado wananitukana.

Wao kwao Lisu ni Mungu, anaweza kila kitu lakini hwanauwezo wa kukuonyesha au kukueleza alichofanya kama sehemu ya mafanikio ya nafasi alizowahi kuzishika.

Ni mwansherii lakini sijui ana oparate vipi, Juzi hapa alisoma gazeti la The gurdian la huko UK, Akaita press akaanza kubwabwaja, Mara Tigo walihusika kutoa mawasiliano yangu nitawafunga, mara Makonda alihusika katika jaribio la kuniua.

Nilimuomba mtu huko UK anitumie kipande cha gazeti lililosema Tigo walishiriki mipango hiyo, au popote lilipoandika Makonda alihusika, jamaa akasema yule mtu alikuwa anahojiwa kwa issue tofauti kabisa, hata hazikuwa zinahusiana na Lisu.

Sasa jiulize, huyo ni mwansheria anaropoka vile kwa kusoma gazeti, angekuwa na ushahidi wa rushwa anazoimba kila siku si angelala studio ana record matusi dhidi ya Mbowe?

Ushahidi hana, ni vimaneno wanapeana vya kudanganyana mitandanoni na vijiweni yeye ana peleka kwenye media, huyu mtu wansema ni kichwa anaweza kuongoza Chadema.

Sasa hivi yeye ni Makamu mwenyekiti, anatamba na cheo lakini hafahamu majukumu ya nafasi aliyonayo, lakini anamkosoa kila mtu nchi hii, kasoro yeye.

Yeye naye analia eti katiba ya CHADEMA ni mbovu, unaweza kuamini huyo mtu anajielewa kweli?

Mwanasheria, aliyeshindwa kuisuka katiba ya chama chake, lakini analalamikia katiba ya JMT.

Mwanasheria aliyeshiriki maridhiano, lakini hakuelewa walikuwa wanaridhiana nini, lakini kuna mambo walikubaliana.

Sasa wafuasi wake wanamtukana kila asiyemkubali, kwasababu wanahisi wasiompenda watamkosesha kura.

Walipoanza walitaka Mbowe asigombee, nikawauliza huyo lisu mnataka apite bila kupingwa?

Wanamtaka Lisu hata wanasahau uchaguzi ni demokrasia.
 
You have take your side.
You are the one who is delusional.
 
Kuna mtu kachezea ID ya nyani naona.
 
Naanza kuamini msemo kuwa mtoto akililia wembe, mpe! Mwache Lissu auchukue uwenyekiti, tuje kuwanang’a hapo badaye
 
Unasumbuliwa sana na “egoism”
Mwamba Ngabu
 
Uko vizuri
 
Tundu Lissu aka the Game Changer!!
 
But, at the end of the day, when one scratches beneath the surface, it’ll be discovered that nothing much changed.
Lissu TLS alimaliza hata miezi 6 kweli, si akaishia kumiminiwa risasi. Pia Rais wa TLS sio mtendaji ila kuna governing council ndio maana hata Mwabukusi amekua neutral maana haamui kila kitu mwenyewe tofauti na chairman wa chadema akisema A ni A wote mnafuata.

Anyway hata lissu akifeli will it be any different na Mbowe akiendelea? Hata akipata wabunge 5 it's an improvement.

Kikubwa anacholeta lissu ni motisha mpya which is very important in mobilization and proactive politics ambazo CCM ndio watazielewa.

Mbowe akishinda, no morale na chama kitafia hapo. So we need lissu kukiamsha chama na kutupa momentum towards October
 
Kwani mbowe atafanya nini kipya kilichomshinda kwa miaka 21?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…