Uchaguzi wa CHADEMA 2025 na uchaguzi wa TLS 2017

Ume tumia lugha nyepesi, ujumbe direct, ila bado Wana lalamika.

uki piga ngeli ya Birmingham, si wata kimbizana Sasa😆
Yeye aendelee kubeba mabox tu huko, mambo ya nchi yetu atuachie sisi.
Madhila ya utekaji na kila aina ya uovu tunafanyiwa sisi, hivyo yeye hawezi kutufundisha vita sisi tulio uwanja wa mapambano huku yeye kajificha.
 
Ni kweli.
 
Mume wangu kasafiri nipo mwenyewe, usihofu, nakuahidi usiri mkubwa.
Oh…..hahaha! Safi sana. Nilijua tu mumeo hawezi kuwepo.

Sasa tufanye hivi….nakutumia Bolt ije kukuchukua ikulete hapa Juliana.

Na uvae kile kigauni chako cha maua maua. Lakini usivae pichu.

Sawa Ashura?
 
Yeye aendelee kubeba mabox tu huko, mambo ya nchi yetu atuachie sisi.
Madhila ya utekaji na kila aina ya uovu tunafanyiwa sisi, hivyo yeye hawezi kutufundisha vita sisi tulio uwanja wa mapambano huku yeye kajificha.
Nchi yenu wewe na nani?

Tanzania nami ya kwangu pia na huna la kufanya juu ya hilo.
 


Pale unapofikiri una akili sana, kumbe trash tu
 
This is the idle mind, which is the devil's workshop.
 
Mkuu relevance ya Lisu kwa haramu zote mbili, mazingira na aina ya siasa za nyakati zote kwa kipindi kile na cha sasa ni very significant.

Hutendi haki kwa kusema Lisu hawezi kufanya chochote bila kusema mwenyekiti aliyepo sasa amefanya nini kwa Miaka yote 20.

Pili, huwezi kulinganisha mwaka mmoja wa hatamu ya Lisu TLS na miaka 20 ya hatamu ya mwenzake CDM!

Mkuu kumbuka Lisu kugombea urais kwenye uchaguzi wa mwaka 2020, kulivyomchachafia Mwendazake aliyekuwa Rais na mwenyekiti wa chama tawala hadi kuweka mpira kwapani.

Kilikuwa ni kipindi kifupi cha takribani miezi 3 ila hali ilikuwa mshike mshike, kasheshe na tafrani tupu kwa upande wa chama tawala.

Mkuu kuhitimisha, ukitaka kumhukumu Lisu kwa haki mpe uenyekiti kwa miaka 20 sawa na mgombea mwenzake ndio uje useme hawezi kufanya kitu!!!
 
CHADEMA ndo chama kikuu cha upinzani nchini.

Kimefikia hadhi hiyo chini ya uenyekiti wa Mbowe.

Kutaka mabadiliko ndani ya chama ni sawa. Hakuna ubaya.

Lakini kudokeza kama vile Mbowe hajafanya chochote cha maana katika hiyo miaka 20 ya uenyekiti wake, ni udanganyifu.

Wekeni heshima katika jina la Mbowe.
 
Mkuu CDM ni kikuu kwa kigezo kipi?? Sema kilikuwa, Kwani kwa sasa KUB anatokana nacho??
 
🌤️🙋‍♂️✍️🎯👏👍
 
Mkuu CDM ni kikuu kwa kigezo kipi?? Sema kilikuwa, Kwani kwa sasa KUB anatokana nacho??
Ni chama gani kingine Tanzania hii chenye hadhi na ushawishi kuliko CHADEMA?

NCCR Mageuzi wakifanya uchaguzi wa viongozi wao hakuna atayehangaika nao.
 
Nimeweja nukta pale ulipoanza tu kumsifia Mbowe. Na bila shaka hujamtaja tu Wenje Kwa hofu ya uchafu wake!!

Hakuna anayeweza kumsafisha Mbowe; Period

Mbowe huyu ambaye Kwa Sasa hawezi hata kutamka neno CCM?

Huyu huyu ambaye hawezi taja jina Samia?

Huyu huyu ambaye hawezi kuzungumzia waliotekwa na waliouawa?

Huyu huyu ambaye hawezi kutaja neno Rushwa?

Huyu huyu ambaye kama utalisikia neno Rushwa kutoka kinywani mwake basi ni katika kuitetea Kwa lugha ya HAKUNA USHAIDI?

Mbowe huyu huyu ambaye amepoteza nguvu na uhalali wa kuipambania Katiba?

Huyu huyu anaepambwa na Kutetewa na Makada wa CCM?

UNATUKOSEA SANA
 
Lakini kudokeza kama vile Mbowe hajafanya chochote cha maana katika hiyo miaka 20 ya uenyekiti wake, ni udanganyifu.

Wekeni heshima katika jina la Mbowe.
Mkuu Ngabu mbona hamna mtu yeyote anasema Mbowe hajafanya lolote. Kinachosemwa sasa ni Mbowe anataka kuzika rasmi jitihada zake za miaka 21 alizohudumu CDM kama Mwenyekiti watu wanapigania kumuokoa na hilo.
 
Ume tumia lugha nyepesi, ujumbe direct, ila bado Wana lalamika.

uki piga ngeli ya Birmingham, si wata kimbizana Sasa😆
Hivi ulimwengu wa sasa mtu anajisifia ngeli kweli ama unamsifu mtu kwa kuandika ngeli kweli? Aisee.

Ama ndio yale Nyerere alisema, jambo la kipumbavu likisemwa kwa kingereza linaonekana la maana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…