Uchaguzi wa CHADEMA 2025 na uchaguzi wa TLS 2017

Hoja yako ni nini hasa...?

Kwamba, Lissu ni mpiga kelele na sio kiongozi..?

Kwamba waliomtaka Lissu 2017 na wanaomtaka Lissu 2025 aongoze CHADEMA are just dilusional...?

Kwanini ulimpiga risasi Tundu Lissu wa 2017? Je, ili tu asiendelee kukupigia hizo kelele unazoziita kelele?

Ulikuwa na sababu gani kumpiga risasi 16 Kiongozi wa chama "mpiga kelele" kilicho nje ya serikali (sema upinzani) iwapo kelele zake hazina impact yoyote kwako..?

Don't you see that, the one who is actually stupid and with dilusional mind is you and your compatriots..???
 
Huyo mnyatunzu hajui kujieleza.Msamehe.
 
Nyani Ngabu have a new look upon Tundu Lissu according to situotion at right time. TLS and CHADEMA both have different mission, not similar at classfied attitude
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…