Kati ya wabunge werevu na wanaojiona anajua, anaweza Kila kitu na hajui ni huyo uliyemtaja.
Ukikutana naye Kila saa anasema tumeletewa Trilioni 2,impact yake Kwa jamii haonekani.
Huko jimboni kwake wanataka kuchagua jiwe kuliko yeye.
Anamtegemea Doto Kila kitu ila term hiyo atashika mayoa.