Pre GE2025 Uchaguzi wa Kanda 4 tu za CHADEMA umeleta kishindo Nchi nzima, ikumbukwe kwamba bado kanda nyingine 6

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uko sahihi kabisa mkuu. Ni ukweli mtupu kuwa hizi chaguzi zimezua kishindo kikubwa cha rushwa. CHADEMA walionekana kama wasafi kimaadili ila kupitia hizi chaguzi imejulikana ndani ya CHADEMA kuna rushwa ya kutisha.
 
Mchungaji Msigwa na Lema ni zao la Lyatonga Mrema πŸ˜€
Uko sahihi mkuu. Lema nilimpigia kura Arusha akiwa TLP. Inasemekana alishinda uchaguzi wa 2005 dhidi ya Felix Mrema wa CCM ila akauza ushindi wake. Mwaka 2010 wananchi walijaa nje ya jengo la manispaa wakishinikiza Mkurugenzi amtangaze Lema kama mshindi kwa kuhofia wanaweza kumtangaza Batilda Buriani wa CCM au Lema naye akauza ushindi wake. Siku ya kutangazwa Lema kama mshindi wa ubunge ilikuwa patashika Arusha mjini mwaka 2010.
 
Felix aliuziwa ubunge kwa 300m πŸ˜‚
 
Reactions: Tui
Vipofu mnaonyeshana njia, Wajinga nyie!!
 
Nenda mitandaoni makonda anaangaliwa kuliko chaguzi za chadema kuanzia online tv mpaka jf ,
 
KIshindo mpaka mpasuko!
 
Asilimia za kura za ushindi zinaonesha kweli mtiti mkali upo na pia kuna demokrasia shinanishi. Hakuna mambo ya kupita kwa 100% hapa.
 
Nani anahangaika na tapeli Makonda wewe? Kila siku anapiga mayowe anataka kuuliwa. Eti watu 8 wamepewa milioni 6 ili wamuue !!! Mpumbavu sana huyu mwizi wa vyeti
Sio nani angalia media coverage inambeba nani wewe unazo akili timamu huku jf thread za makonda ni ngapi?usijitoe akili online tv utakuta habari za makonda kila baada ya masaa matatu ,sasa utalinganisha na nini
 
Chama kubwa
 
Sio nani angalia media coverage inambeba nani wewe unazo akili timamu huku jf thread za makonda ni ngapi?usijitoe akili online tv utakuta habari za makonda kila baada ya masaa matatu ,sasa utalinganisha na nini
Huyo mjinga anayo hela chafu ya kununua airtime na kuweka chawa wake huku mitandaoni. Kama humu JF si unaona watu ni wale wale wanaorudia habari zile zile. Atawahadaa wajinga tu kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…