Huo ndio Ukweli wanao uficha na sio kwamba Wananchi wanapuuza Bajeti-Labda CHADEMA na chawa wao.
Eti wanapuuza taarifa za Safari za Nje! Huo pia ni Uwongo-labda CHADEMA na Chawa wao
Itoshe, pale CHADEMA inapopuuza Bajeti ama Bunge ama Safari za nje za Viongozi, inatuambia nino wakishika madaraka?
Wata Wapuuza Wananchi pale wakitaka Taarifa za Bunge ama safari za Viongozi wa CHADEMA walioko madarakani. Hii ni hatari kwa Ustawi wa Taifa na Demokrasia.
...pia, Haya magenge ya Upotoshaji ya CHADEMA ya shutumiwe.
Kichwa cha mada hii na muktadha wake ni dhahiri CHADEMA bado inaendesha Propaganda za kitoto.