MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wewe hujui kitu chochote kuhusu Lema na siasa za Arusha.Vipofu mnaonyeshana njia, Wajinga nyie!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hujui kitu chochote kuhusu Lema na siasa za Arusha.Vipofu mnaonyeshana njia, Wajinga nyie!!
Sio mbaya 300m ya 2005 ilikuwa sio haba. Sema Lema naye ilitokea kuwa kapendwa sana na watu wa Arusha bila sababu za msingi. Toka akiwa TLP alikuwa mpinzani wa kweli wa CCM.Felix aliuziwa ubunge kwa 300m 😂
Ila unajua wewe kapuku siyo ?Wewe hujui kitu chochote kuhusu Lema na siasa za Arusha.
Mimi sio kapuku. Ninazijua siasa za upinzani kuliko wewe unavyojua. Nimekulia kwa wamiliki wenyewe wa CHADEMA na sio nyie wakuja.Ila unajua wewe kapuku siyo ?
Hela anayo lakini ni mjinga tu,unless wewe hujui maana ya mjinga."Hakuna mjinga mwenye hela " chukua hii itasaidia ukoo wako
Gazeti Ili iweje? Wazee ndio wanasoma magazeti. Taarifa zote ni huku mitandaoni kulipo na kizazi kipya.Kishindo kipi, gazeti lipi limewaandika hao nyumbu? Hakuna ht anayewafuatilia, sisi tuko na Rais wetu
Huna lolote ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani.Mimi sio kapuku. Ninazijua siasa za upinzani kuliko wewe unavyojua. Nimekulia kwa wamiliki wenyewe wa CHADEMA na sio nyie wakuja.
Huku mtandaoni wanatamba yanga,simba ,makonda ,jerry slaa hao chadema mpaka utafute taarifaGazeti Ili iweje? Wazee ndio wanasoma magazeti. Taarifa zote ni huku mitandaoni kulipo na kizazi kipya.
Cdm kuwe na rushwa ya kutisha kwani Kuna wauza unga na wakwepa kodi kama ccm? Naona mlitarajia chaguzi zibume, lakini tunashuhidia chaguzi zenye ushindani wa kweli, sio zile chaguzi za kipuuzi mgombea anapata kura 100%.Uko sahihi kabisa mkuu. Ni ukweli mtupu kuwa hizi chaguzi zimezua kishindo kikubwa cha rushwa. CHADEMA walionekana kama wasafi kimaadili ila kupitia hizi chaguzi imejulikana ndani ya CHADEMA kuna rushwa ya kutisha.
Haya ndio matamanio ya Kila jizi la ccm.Huku mtandaoni wanatamba yanga,simba ,makonda ,jerry slaa hao chadema mpaka utafute taarifa
😆😆😆😆Huna lolote ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani.
Ndugu Tindo una uhakika wa kupata milo mitatu kwa siku?Huna lolote ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani.
Kwahiyo nyie ni CCM B?Cdm kuwe na rushwa ya kutisha kwani Kuna wauza unga na wakwepa kodi kama ccm? Naona mlitarajia chaguzi zibume, lakini tunashuhidia chaguzi zenye ushindani wa kweli, sio zile chaguzi za kipuuzi mgombea anapata kura 100%.
Swali la kibwege sana! Hivi kwanini masikini mnawaza kula tu?Ndugu Tindo una uhakika wa kupata milo mitatu kwa siku?
Hizo Pilika pilika, shamra shamra , shangwe , kishindo na Mtikisiko uliousikia Nchi nzima unahusu kanda 4 tu
View attachment 3003648
Ifahamike kwamba bado kuna kanda 6 hazijafanya uchaguzi, sasa bado hatujui nini kitatokea baada ya Kanda hizo kuingia kazini.
Kanda ambazo kipyenga chake kinatarajia kupulizwa na ambako mtiti wake si mdogo ni Kusini, Mashariki, Kaskazini, Kati, Pemba na Unguja
Bali Tunachojiuliza ni hiki, Kitendo cha Chaguzi hizi za Chadema Kuteka mijadala ya Nchi, kiasi cha kupuuzwa kwa Bunge la Bajeti na kupuuzwa kwa Ziara za Wakubwa nje ya Nchi maana yake nini?
Ndo nchi pekee Duniani ambayo viongozi wakubwa wanadanganya Wanaadamu na "MUNGU"..🙆🙆🙆
Hizo Pilika pilika, shamra shamra , shangwe , kishindo na Mtikisiko uliousikia Nchi nzima unahusu kanda 4 tu
View attachment 3003648
Ifahamike kwamba bado kuna kanda 6 hazijafanya uchaguzi, sasa bado hatujui nini kitatokea baada ya Kanda hizo kuingia kazini.
Kanda ambazo kipyenga chake kinatarajia kupulizwa na ambako mtiti wake si mdogo ni Kusini, Mashariki, Kaskazini, Kati, Pemba na Unguja
Bali Tunachojiuliza ni hiki, Kitendo cha Chaguzi hizi za Chadema Kuteka mijadala ya Nchi, kiasi cha kupuuzwa kwa Bunge la Bajeti na kupuuzwa kwa Ziara za Wakubwa nje ya Nchi maana yake nini?
Hakuna "MAMLAKA" chini ya Jua itakayodumu milele- maandiko, aminia iko siku.Hizo Pilika pilika, shamra shamra , shangwe , kishindo na Mtikisiko uliousikia Nchi nzima unahusu kanda 4 tu
View attachment 3003648
Ifahamike kwamba bado kuna kanda 6 hazijafanya uchaguzi, sasa bado hatujui nini kitatokea baada ya Kanda hizo kuingia kazini.
Kanda ambazo kipyenga chake kinatarajia kupulizwa na ambako mtiti wake si mdogo ni Kusini, Mashariki, Kaskazini, Kati, Pemba na Unguja
Bali Tunachojiuliza ni hiki, Kitendo cha Chaguzi hizi za Chadema Kuteka mijadala ya Nchi, kiasi cha kupuuzwa kwa Bunge la Bajeti na kupuuzwa kwa Ziara za Wakubwa nje ya Nchi maana yake nini?
Huo ndio Ukweli wanao uficha na sio kwamba Wananchi wanapuuza Bajeti-Labda CHADEMA na chawa wao.Kilichopaisha hizo chaguzi na kuzipa umaarufu ni kutamalaki Kwa rushwa kitu ambacho kimekuwa ni mshangao Kwa jamii.
Crate 4 za bia makamanda wabakupa Kura.
Bora hata wajumbe wa CCM
Usilie mambo badoHuo ndio Ukweli wanao uficha na sio kwamba Wananchi wanapuuza Bajeti-Labda CHADEMA na chawa wao.
Eti wanapuuza taarifa za Safari za Nje! Huo pia ni Uwongo-labda CHADEMA na Chawa wao
Itoshe, pale CHADEMA inapopuuza Bajeti ama Bunge ama Safari za nje za Viongozi, inatuambia nino wakishika madaraka?
Wata Wapuuza Wananchi pale wakitaka Taarifa za Bunge ama safari za Viongozi wa CHADEMA walioko madarakani. Hii ni hatari kwa Ustawi wa Taifa na Demokrasia.
...pia, Haya magenge ya Upotoshaji ya CHADEMA ya shutumiwe.
Kichwa cha mada hii na muktadha wake ni dhahiri CHADEMA bado inaendesha Propaganda za kitoto.
Ina uhusiano gani na hii mada mambo ya milo yangu? Nimesharuka mijadala ya mlo muda mrefu.Ndugu Tindo una uhakika wa kupata milo mitatu kwa siku?
😂😂😂😂☝🏿Usilie mambo bado