Pre GE2025 Uchaguzi wa Kanda 4 tu za CHADEMA umeleta kishindo Nchi nzima, ikumbukwe kwamba bado kanda nyingine 6

Pre GE2025 Uchaguzi wa Kanda 4 tu za CHADEMA umeleta kishindo Nchi nzima, ikumbukwe kwamba bado kanda nyingine 6

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyo mjinga anayo hela chafu ya kununua airtime na kuweka chawa wake huku mitandaoni. Kama huju JF si unaona watu ni wale wale wanaorudia habari zile zile. Atawahadaa wajinga tu kama wewe
"Hakuna mjinga mwenye hela " chukua hii itasaidia ukoo wako
 
Hizo Pilika pilika, shamra shamra , shangwe , kishindo na Mtikisiko uliousikia Nchi nzima unahusu kanda 4 tu

View attachment 3003648

Ifahamike kwamba bado kuna kanda 6 hazijafanya uchaguzi, sasa bado hatujui nini kitatokea baada ya Kanda hizo kuingia kazini.

Kanda ambazo kipyenga chake kinatarajia kupulizwa na ambako mtiti wake si mdogo ni Kusini, Mashariki, Kaskazini, Kati, Pemba na Unguja

Bali Tunachojiuliza ni hiki, Kitendo cha Chaguzi hizi za Chadema Kuteka mijadala ya Nchi, kiasi cha kupuuzwa kwa Bunge la Bajeti na kupuuzwa kwa Ziara za Wakubwa nje ya Nchi maana yake nini?
CCM wao huwa ni matapeli tupu
 
MMkuuu umeongea jambo la ukweli kiukweli sikujua kunauchaguzi wa Wenyeviti wa chadema....nimeona leo kwenye Group letu la Siasa,Nilikuwa bize na ishu za Bashite huko Atown.
Nenda mitandaoni makonda anaangaliwa kuliko chaguzi za chadema kuanzia online tv mpaka jf ,
 
Hivi kunawagombea kinamams? Inabidi watengenezwe makamanda wanawake maana ukiwin kinamams maranyingi ndoumewin mazima
 
Hizo Pilika pilika, shamra shamra , shangwe , kishindo na Mtikisiko uliousikia Nchi nzima unahusu kanda 4 tu

View attachment 3003648

Ifahamike kwamba bado kuna kanda 6 hazijafanya uchaguzi, sasa bado hatujui nini kitatokea baada ya Kanda hizo kuingia kazini.

Kanda ambazo kipyenga chake kinatarajia kupulizwa na ambako mtiti wake si mdogo ni Kusini, Mashariki, Kaskazini, Kati, Pemba na Unguja

Bali Tunachojiuliza ni hiki, Kitendo cha Chaguzi hizi za Chadema Kuteka mijadala ya Nchi, kiasi cha kupuuzwa kwa Bunge la Bajeti na kupuuzwa kwa Ziara za Wakubwa nje ya Nchi maana yake nini?
Ndugu Mwanachadema, hata kabla ya uchaguzi wa hizo Kanda wananchi haliwazingatii Bunge so haiwezi kuwa ni mafanikio na kwamba Uchaguzi ndio umesababisha Bunge kupuuzwa
 
Back
Top Bottom