Pre GE2025 Uchaguzi wa Kanda 4 tu za CHADEMA umeleta kishindo Nchi nzima, ikumbukwe kwamba bado kanda nyingine 6

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Felix aliuziwa ubunge kwa 300m πŸ˜‚
Sio mbaya 300m ya 2005 ilikuwa sio haba. Sema Lema naye ilitokea kuwa kapendwa sana na watu wa Arusha bila sababu za msingi. Toka akiwa TLP alikuwa mpinzani wa kweli wa CCM.
 
Gazeti Ili iweje? Wazee ndio wanasoma magazeti. Taarifa zote ni huku mitandaoni kulipo na kizazi kipya.
Huku mtandaoni wanatamba yanga,simba ,makonda ,jerry slaa hao chadema mpaka utafute taarifa
 
Uko sahihi kabisa mkuu. Ni ukweli mtupu kuwa hizi chaguzi zimezua kishindo kikubwa cha rushwa. CHADEMA walionekana kama wasafi kimaadili ila kupitia hizi chaguzi imejulikana ndani ya CHADEMA kuna rushwa ya kutisha.
Cdm kuwe na rushwa ya kutisha kwani Kuna wauza unga na wakwepa kodi kama ccm? Naona mlitarajia chaguzi zibume, lakini tunashuhidia chaguzi zenye ushindani wa kweli, sio zile chaguzi za kipuuzi mgombea anapata kura 100%.
 
Cdm kuwe na rushwa ya kutisha kwani Kuna wauza unga na wakwepa kodi kama ccm? Naona mlitarajia chaguzi zibume, lakini tunashuhidia chaguzi zenye ushindani wa kweli, sio zile chaguzi za kipuuzi mgombea anapata kura 100%.
Kwahiyo nyie ni CCM B?
 
Yajayo yanafurahisha

Hivi bado kuna anayesoma magazeti! basi soma na hili

View attachment 3003662
Ndo nchi pekee Duniani ambayo viongozi wakubwa wanadanganya Wanaadamu na "MUNGU"..πŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
Hakuna

Hakuna "MAMLAKA" chini ya Jua itakayodumu milele- maandiko, aminia iko siku.
 
Kilichopaisha hizo chaguzi na kuzipa umaarufu ni kutamalaki Kwa rushwa kitu ambacho kimekuwa ni mshangao Kwa jamii.

Crate 4 za bia makamanda wabakupa Kura.

Bora hata wajumbe wa CCM
Huo ndio Ukweli wanao uficha na sio kwamba Wananchi wanapuuza Bajeti-Labda CHADEMA na chawa wao.

Eti wanapuuza taarifa za Safari za Nje! Huo pia ni Uwongo-labda CHADEMA na Chawa wao

Itoshe, pale CHADEMA inapopuuza Bajeti ama Bunge ama Safari za nje za Viongozi, inatuambia nino wakishika madaraka?

Wata Wapuuza Wananchi pale wakitaka Taarifa za Bunge ama safari za Viongozi wa CHADEMA walioko madarakani. Hii ni hatari kwa Ustawi wa Taifa na Demokrasia.


...pia, Haya magenge ya Upotoshaji ya CHADEMA ya shutumiwe.

Kichwa cha mada hii na muktadha wake ni dhahiri CHADEMA bado inaendesha Propaganda za kitoto.
 
Usilie mambo bado
 
Usilie mambo bado
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚β˜πŸΏ

Nani ambaye ashaanza kulia humu kwamba wanaibiwa kura hata kabla ya upigaji kura?

Nani anayelia kwamba bila Katiba au Tume huru, wataibiwa kura. Yaani Nyie CHADEMA mnataka muweke Kipengele kwenye Katiba kinachowapa uhalali wa kuwemo madarakani bila ya kuchaguliwa? Ushahidi upo. Mlianza kwenye maridhiano eti muitwe "Chama kikuu" halafu mje kwenyr Katiba mseme mgawane madaraka.

Uzeni sera.

Taarifa za nani kachaguliwa ndani ya CHAMA chenu hakina maan yakuwa inatikisa NCHI.

Makonda ndie anayetikisa Nchi. Kila nyuzi kumi, hamukosi kumtaja. Uzeni sera na sio kutangaza Vinyongo, Uhasama na Visasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…