๐๐๐๐โ๐ฟ
Nani ambaye ashaanza kulia humu kwamba wanaibiwa kura hata kabla ya upigaji kura?
Nani anayelia kwamba bila Katiba au Tume huru, wataibiwa kura. Yaani Nyie CHADEMA mnataka muweke Kipengele kwenye Katiba kinachowapa uhalali wa kuwemo madarakani bila ya kuchaguliwa? Ushahidi upo. Mlianza kwenye maridhiano eti muitwe "Chama kikuu" halafu mje kwenyr Katiba mseme mgawane madaraka.
Uzeni sera.
Taarifa za nani kachaguliwa ndani ya CHAMA chenu hakina maan yakuwa inatikisa NCHI.
Makonda ndie anayetikisa Nchi. Kila nyuzi kumi, hamukosi kumtaja. Uzeni sera na sio kutangaza Vinyongo, Uhasama na Visasi.