Uchaguzi wa Kenya: Kilichokataliwa kilikuwa bora zaidi kuliko kilichotarajiwa kuwa bora

Uchaguzi wa Kenya: Kilichokataliwa kilikuwa bora zaidi kuliko kilichotarajiwa kuwa bora

Kinachosikitisha ni kwamba, uchaguzi wa Kenya utafanya jitihada zozote za kufanya uchaguzi wa rais uweze kupingwa mahakamani Tanzania ziwe ngumu sana.

Wanaopinga watasema "si mmeona kilichotokea Kenya?"
 
wameset a bad case study
 
Jaji Malaga na timu yake kwanza walikosa busara, pili hawakuangalia tatizo lile nje ya boksi hasa madhaifu ya katiba yao ktk maswala ya uchaguzi, tatu hawakuangalia historia ya chaguzi ktk nchi yao, kutaja kwa uchahe
 
majaji siyo kosa lao. Jana walitishiwa wasiende mahakamani kutoa haki.
 
majaji siyo kosa lao. Jana walitishiwa wasiende mahakamani kutoa haki.
Hata wasingetishwa, walishaona tension walioisababisha kwenye Taifa lao. Kwa sasa Kenya ni kama haitawaliki, kutakuwa na utitiri wa maandamano pamoja na kesi zisizoisha mahakamani kupinga uhalali wa uongozi utakaochaguliwa ktk uchaguzi wa marudio. Yote tisa, kumi tunawaombea wapite kwa amani katika jaribu hili.
 
Kinachosikitisha ni kwamba, uchaguzi wa Kenya utafanya jitihada zozote za kufanya uchaguzi wa rais uweze kupingwa mahakamani Tanzania ziwe ngumu sana.

Wanaopinga watasema "si mmeona kilichotokea Kenya?"

wameset a bad case study
Mimi nadhani hii ni good case study, kama ikitokea Tanzania tukataka kurudisha kipengele cha kuhoji uchaguzi wa rais mahakamani, tutajuwa wapi pakuziba na wapi pakujenga.

Japo katiba yetu inahitaji marekebisho maana muda wake umepita, lakini lazima tujuwe katiba sio muarobani wa matatizo yetu yote. Mifano tumeiona Kenya, wana katiba iliyo water tight lakini bado watu wanatafuta milango ya nyuma kuikwepa hiyo katiba (kama vile majaji waliokosekana jana). Tunacho wanasiasa makini, na hapa nazungumzia wanasiasa wa vyama vyote. Wanasiasa wengi tulio nao ni wababaishaji na watu wa matukio, tukio likiisha na wao wanasepa.
 
Tuna shida sana na hizi demokrasia za kukopa (loan democracy) toka kwa wazungu.
Hiyo ni kama mitihani ya vyuo vya ulaya inayoitwa re-exams, ambayo kila mtu huruhusiwa kufanya, hata usipofeli, ili kuboresha alama ulizopata kwenye mtihani wa kwanza. Sasa nyakati nyingine mwanafunzi anaweza apate alama chache kuliko alizopata mtihani wa kwanza. lakini uzuri wake ukipata alama ndogo, basi zile nyingi za mtihani wa kwanza zinabaki.

Hicho ndicho kilichotokea Kenya, kwenye re-exam wamepata alama chache zaidi kuliko alama walizopata mtihani wa kwanza. Katika maana ya kwamba uchaguzi wa awali ulikidhidhi vigezo vingi vya uchaguzi kuliko uchaguzi wa marudio ambao umefanyika leo tarehe 26/Oktoba/2017.
Ni kweli tupu.
 
hawajui la kufanya. kura hazitatosha na upinzani wataenda mahakamani.
Kura gani haitoshi, kwani katiba inasema wapige kura wangapi?! , mind you 50%+ ya mshindi itatokea na jumla ya waliojitokeza kupiga kura na sio waliojiandikisha.
 
Kura gani haitoshi, kwani katiba inasema wapige kura wangapi?! , mind you 50%+ ya mshindi itatokea na jumla ya waliojitokeza kupiga kura na sio waliojiandikisha.

please naomba hicho kifungu nijielimishe zaidi.
 
matokeo ya leo kwa kujibu wa CitizenTV
Kenyatta 2,622,987 (98.1%) Odinga 30,177 (1.1%)
 
maeneo ya magharibi yaliyoahirishiwa uchaguzi, yameahirishiwa tena kwa muda USIOJULIKANA.
 
Ilihusika vipi na kuwatishia? Hebu tuwelezee mliwatisha na Nani?

muulize yule aliyenusurika kufa baada ya dereva wake kumiminiwa risasi na watu WASIOJULIKANA. Weee unafikiri angekuwemo kwenye gari nini kingetokea??
 
Uhuru Kenyatta currently with over 7.1 million votes.
 
ametoa wapi hizo kura wakati watu hawakujitokeza?
mtaona jinsi mahakama itakavyofutilia mbali huo uchaguzi wa marudio.
 
muulize yule aliyenusurika kufa baada ya dereva wake kumiminiwa risasi na watu WASIOJULIKANA. Weee unafikiri angekuwemo kwenye gari nini kingetokea??
Umejijibu...WASIOJULIKANA.
 
Back
Top Bottom