Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
majaji siyo kosa lao. Jana walitishiwa wasiende mahakamani kutoa haki.Jaji Malaga na timu yake kwanza walikosa busara, pili hawakuangalia tatizo lile nje ya boksi hasa madhaifu ya katiba yao ktk maswala ya uchaguzi, tatu hawakuangalia historia ya chaguzi ktk nchi yao, kutaja kwa uchahe
Hata wasingetishwa, walishaona tension walioisababisha kwenye Taifa lao. Kwa sasa Kenya ni kama haitawaliki, kutakuwa na utitiri wa maandamano pamoja na kesi zisizoisha mahakamani kupinga uhalali wa uongozi utakaochaguliwa ktk uchaguzi wa marudio. Yote tisa, kumi tunawaombea wapite kwa amani katika jaribu hili.majaji siyo kosa lao. Jana walitishiwa wasiende mahakamani kutoa haki.
Kinachosikitisha ni kwamba, uchaguzi wa Kenya utafanya jitihada zozote za kufanya uchaguzi wa rais uweze kupingwa mahakamani Tanzania ziwe ngumu sana.
Wanaopinga watasema "si mmeona kilichotokea Kenya?"
Mimi nadhani hii ni good case study, kama ikitokea Tanzania tukataka kurudisha kipengele cha kuhoji uchaguzi wa rais mahakamani, tutajuwa wapi pakuziba na wapi pakujenga.wameset a bad case study
Ni kweli tupu.Tuna shida sana na hizi demokrasia za kukopa (loan democracy) toka kwa wazungu.
Hiyo ni kama mitihani ya vyuo vya ulaya inayoitwa re-exams, ambayo kila mtu huruhusiwa kufanya, hata usipofeli, ili kuboresha alama ulizopata kwenye mtihani wa kwanza. Sasa nyakati nyingine mwanafunzi anaweza apate alama chache kuliko alizopata mtihani wa kwanza. lakini uzuri wake ukipata alama ndogo, basi zile nyingi za mtihani wa kwanza zinabaki.
Hicho ndicho kilichotokea Kenya, kwenye re-exam wamepata alama chache zaidi kuliko alama walizopata mtihani wa kwanza. Katika maana ya kwamba uchaguzi wa awali ulikidhidhi vigezo vingi vya uchaguzi kuliko uchaguzi wa marudio ambao umefanyika leo tarehe 26/Oktoba/2017.
Ulitaka wafanyeje!Wakenya wanajifanya kujua Sana matokeo ndiyo haya. Nchi imebaki katika suspense kwa muda Na gharama zisizokuwa Na maana eti kisa mahakama imefuta uchaguzi
Kura gani haitoshi, kwani katiba inasema wapige kura wangapi?! , mind you 50%+ ya mshindi itatokea na jumla ya waliojitokeza kupiga kura na sio waliojiandikisha.hawajui la kufanya. kura hazitatosha na upinzani wataenda mahakamani.
Waige siasa za kistaarabu za TanzaniaUlitaka wafanyeje!
Duh. Hii kaliWameyatongoza matatizo lazima wayaowe
Ilihusika vipi na kuwatishia? Hebu tuwelezee mliwatisha na Nani?majaji siyo kosa lao. Jana walitishiwa wasiende mahakamani kutoa haki.
Umejijibu...WASIOJULIKANA.muulize yule aliyenusurika kufa baada ya dereva wake kumiminiwa risasi na watu WASIOJULIKANA. Weee unafikiri angekuwemo kwenye gari nini kingetokea??
Watu hawakujitokeza kwani ulipiga kura?ametoa wapi hizo kura wakati watu hawakujitokeza?
mtaona jinsi mahakama itakavyofutilia mbali huo uchaguzi wa marudio.