Kenya 2022 Uchaguzi wa Kenya ulianza vizuri ni nini kimeusibu?

Kenya 2022 Uchaguzi wa Kenya ulianza vizuri ni nini kimeusibu?

Kenya 2022 General Election
Mgombea wa Kenyatta kashindwa!
Kenyatta is buying time trying to coock some new results.
Otherwise, angeshinda mgombea wa Kenyatta, matokeo rasmi yangekwisha tangazwa.
Kenyatta is playing a dangerous game. Ajiandae kwenda The Hague kwa mara ya pili.
Otherwise amkabidhi Rutto nchi kwa amani.
Mh
 
Walianza vizuri kutangaza matokeo, mara paaap zoeozi likaanza kusuasua ikawa haileweki nani anaongoza. Kwa ukimya huu tayari kuna atakayeibuka mshindi na kuishangaza dunia kwa ushindi wake
 
Kikwete ndiye aliyeanzisha bila ridhaa yoyote ya CCM.

Pili, Katiba hata iwe nzuri vipi, haiwezi kukusaidia wewe mwananchi Mlalahoi.

Katiba Ni kugawana madaraka kwa wanasiasa mithili ya Berlin conference ili watafune bila kelele.
Bahati mbaya hutoeleweka.
 
Walianza vizuri kutangaza matokeo, mara paaap zoeozi likaanza kusuasua ikawa haileweki nani anaongoza. Kwa ukimya huu tayari kuna atakayeibuka mshindi na kuishangaza dunia kwa ushindi wake
RUTO ndio mshindi wa dunia
 
Tume Ya Uchaguzi Ya Kenya
Sheria Inaitaka Ndani Ya Siku Saba Baada Ya Uchaguzi Kutangaza Matokeo, Mpaka Sasa Muda Wa Hizo Siku Bado Haujaisha
Kiherehere cha tv kutangaza kimeishia wapi? Btw siku 7 mbona ni nyingi yaani hata hizo unahitaji katiba iseme, pasipo katiba walichukua siku ngapi kutangaza matokeo chaguzi za awali?
 
Kiherehere cha tv kutangaza kimeishia wapi? Btw siku 7 mbona ni nyingi yaani hata hizo unahitaji katiba iseme, pasipo katiba walichukua siku ngapi kutangaza matokeo chaguzi za awali?

Wale ndiyo wanaoleta taharuki kwa jamii.
Maana wanatoa msimamo wa ligi (uchaguzi) kulingana na huba na mahaba yao.
 
Huu ukimya huenda kuna asiyetakiwa kushinda kashinda, cha kufanya ni kufanya manuevre ili apigwe chini na aliyeshindwa atangazwe mshindi. Ikiwa hivyo huu nao utakuwa uchaguzi wa hovyo afrika mashariki.
 
Anatakiwa kushinda ni RUTO. Sasa Jaluo kajichanganya kwenye Mtumbwi wa Vibwengo. Lazima adhibitiwe na Usalama kisha Ruto atangazwe na kuapishwa wakati Jaluo lipo jela.
 
We jamaa sijui unaumwa akili au nini. Matokeo hawajatoa lkn unalazimisha kuwa RUTO ameshinda dah [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kweli ugonjwa wa vichaa upo
Mkuu... Rudi hapa unitukane tena 😀😀😀
 
Back
Top Bottom