Kenya 2022 Uchaguzi wa Kenya ulianza vizuri ni nini kimeusibu?

Kenya 2022 Uchaguzi wa Kenya ulianza vizuri ni nini kimeusibu?

Kenya 2022 General Election
Hadi hapo nimeshakupiga na kitu kizito kichwani[emoji1787], ulitaka kuleta upumbavu wako wa kuzuia unayempenda wewe asisemwe alafu unayemchukia ndio asemwe. NEVER hii ndio JF, pole sana
Acha kujichekesha chekesha, kalia kwanza hapo usikilizie
 

Attachments

  • IMG_20220725_163649.jpg
    IMG_20220725_163649.jpg
    56 KB · Views: 4
Hata ningekuwa mimi nisingempa!

-Ruto ni jeuri na kiburi
-Ruto hajui diplomacy
-Ruto ana kisasi

Kwa nchi ya Kenya na historia yake jinsi ilivyo mtu wa namna hiyo kwa amani ndani ya nchi ni hatari. Hatujui mbele itakuwaje ila kwa mwenendo wake hayo ya juu yamedhihirika.

Hata Kama ni maamuzi ya raia lakini wenye mamlaka wanaangalia usalama wa nchi.
Mahakamani kuna kesi ya Gachagua, so hata wakishinda kuna kesi ya zuio la wao kuapishwa mpaka mahakama ikazie hukumu dhidi ya Gachagua.

Alikutwa na hatia ya ufisadi ila Bado jina lake likabaki kwa ballot kinyume na kanuni. Kwa namna yeyote uchaguzi huu utaamuliwa na mahakama sio matokeo haya.

Ila kama uchaguzi utarudiwa Ruto atashinda maana Wapiga kura wa Odinga watakua demoralized kwa kupambana miaka yote alafu waanguke tena!!
 
Tulisimangwa sana na kuambiwa tuwaige. Sawa tutawaiga wakenya role models wetu wa demokrasia
 
IEBC wanazo siku saba za kutangaza mshindi wa kura za urais, hiyo ni kwa mujibu wa katiba ya Kenya 2010. Wanachofanya ni kuhakikisha kila kitu kinafanywa kwa umakini mkubwa na kwamba process zote za kisheria zinafatwa. Ili kuzuia kilichowasibu uchaguzi wa 2017, ambapo matokeo ya kura za urais yalibatilishwa na mahakama. Kila kitu kipo wazi kwenye portal ya IEBC na tayari wakenya wanajua rais ajaye ni nani. Kinachosubiriwa tu ni tume hiyo kutangaza rasmi.

Kwa hali hii sidhani kama ndani ya siku 7 matokeo kamili yatakuwa tayari

Screenshot_20220813-235712.png
 
Back
Top Bottom