Kenya 2022 Uchaguzi wa Kenya ulianza vizuri ni nini kimeusibu?

Kenya 2022 General Election
Hata Mc Cain alimpiga obama 2008 ndio wakaamua wafanye manually Ili Obama abebwe !!

Naona na kenya Ruto kampiga odinga Sasa kwakuwa Odinga ndio chaguo la dola Sasa wanapika vitu vipya Ili kumbeba!

Jamaa wanataka ya huku KWETU kujirudia Ili lady gaga wa huko she ashike Ili Uhuru awe na remote ya kuongoza akiwa nyumbani kama jk anavofanya HUKU!!
 
Kwa hiyo, mwisho wa yote, US na Kenya humalizia uchaguzi kama Tanzania tu. Interesting 🤔.

Hao jamaa wanaoamua kugawa uRais kama waTZ huko US na Kenya ni kina nani hasa?
 
Attachments

  • IMG_20220725_163649.jpg
    IMG_20220725_163649.jpg
    56 KB · Views: 4
Ruto hata akishinda hawawezi kumpa hiyo nafasi. Trust me!
Hata ningekuwa mimi nisingempa!

-Ruto ni jeuri na kiburi
-Ruto hajui diplomacy
-Ruto ana kisasi

Kwa nchi ya Kenya na historia yake jinsi ilivyo mtu wa namna hiyo kwa amani ndani ya nchi ni hatari. Hatujui mbele itakuwaje ila kwa mwenendo wake hayo ya juu yamedhihirika.

Hata Kama ni maamuzi ya raia lakini wenye mamlaka wanaangalia usalama wa nchi.
 
Lumsifia mtu kumudu uchaguzi ni baada ya matokeo. Kuanza kujisifu kuwa uchaguzi ni wa kihistoria kwa kuonyesha vi update vya matokeo yanayotofautiana kwenye Tv ni premature kama hospitali kujisifu kuwa wamefanikiwa kufanya upasuaji wa kihistoria bila kujua yule aliyefanyiwa upasuaji huo ataishi muda gani
 
Kenya wamejitahid sana mapungufu lazima yawepo Ila huwez fananisha integrity ya unchaguz wa Kenya na Tanzania ni mbingu na ardhi wako mbali san
 
Mgombea wa Kenyatta kashindwa!
Kenyatta is buying time trying to coock some new results.
Otherwise, angeshinda mgombea wa Kenyatta, matokeo rasmi yangekwisha tangazwa.
Kenyatta is playing a dangerous game. Ajiandae kwenda The Hague kwa mara ya pili.
Otherwise amkabidhi Rutto nchi kwa amani.
Nilianza kupata wasiwasi nilipoona tu Uhuru amehamia kwa RO... Alikosea sana alipaswa kuwa neutral...

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Hata Mc Cain alimpiga obama 2008 ndio wakaamua wafanye manually Ili Obama abebwe !!

Naona na kenya Ruto kampiga odinga Sasa kwakuwa Odinga ndio chaguo la dola Sasa wanapika vitu vipya Ili kumbeba!

Jamaa wanataka ya huku KWETU kujirudia Ili lady gaga wa huko she ashike Ili Uhuru awe na remote ya kuongoza akiwa nyumbani kama jk anavofanya HUKU!!
Electronic system ni hatari kuliko manual
 
Back
Top Bottom