Kenya 2022 Uchaguzi wa Kenya ulianza vizuri ni nini kimeusibu?

Kenya 2022 General Election
Mgombea wa Kenyatta kashindwa!
Kenyatta is buying time trying to coock some new results.
Otherwise, angeshinda mgombea wa Kenyatta, matokeo rasmi yangekwisha tangazwa.
Kenyatta is playing a dangerous game. Ajiandae kwenda The Hague kwa mara ya pili.
Otherwise amkabidhi Rutto nchi kwa amani.
 
Kwakua umejibu kishabiki ni wazi umeamua kutotaka kujua ukweli wa kilichotokea na kinachoendelea mpaka sasa. Basi tusubiri matokeo siku ya jumatatu au jumanne.
 
Naona majizi ya kura Tanzania mnasali kwa shetani usiku na mchana ili Uchaguzi Mkuu Kenya uharibike ili mpate uhalali wa ushenzi wenu wa 2020 hapa nchini?
Wakenye wapo imara, Dunia imeshuhudia ukomavu wao kwenye democrasia. Dua la kuku halipati mwewe.
 
Mgombea wa Kenyatta kashindwa!
Kenyatta is buying time trying to coock some new results.
Otherwise, angeshinda mgombea wa Kenyatta, matokeo rasmi yangekwisha tangazwa.
Kenyatta is playing a dangerous game. Ajiandae kwenda The Hague kwa mara ya pili.
Otherwise amkabidhi Rutto nchi kwa amani.
Wabongo bwana,tunajua kupangia majirani lakini ukija uchaguzi wetu sasa,tunabaki kuwa keyboard worriers.
 
IEBC wanazo siku saba za kutangaza mshindi wa kura za urais, hiyo ni kwa mujibu wa katiba ya Kenya 2010. Wanachofanya ni kuhakikisha kila kitu kinafanywa kwa umakini mkubwa na kwamba process zote za kisheria zinafatwa. Ili kuzuia kilichowasibu uchaguzi wa 2017, ambapo matokeo ya kura za urais yalibatilishwa na mahakama. Kila kitu kipo wazi kwenye portal ya IEBC na tayari wakenya wanajua rais ajaye ni nani. Kinachosubiriwa tu ni tume hiyo kutangaza rasmi.
 
Kama wewe ni Mkenya tuambie Rais ni nani??
 
Back
Top Bottom