fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
Wamarekani ni wabaguzi sana hasa hawa weupe wanaojiona ndo binadamu, si ajabu ndo mana wamarekani weusi wanabaguliwa mpaka Dunia ya Leo ya mwangaza.
Wamempiga chini Kamala kwa sababu ya uanamke wake na ngozi yake yenye weusi .Naamini wale manguli weupe kama Trump, Elon Musk bado wanaamini wao ndo Wana haki na taifa hilo, na hata kwa Obama nikiri walimchagua ili kujarbu kubalancemambo ya ubaguzi ila hata Leo kwao ni doa kubwa lisilofutika.
I hope wanafuraha Sasa mzungu pure ndo kashinda.
Kwa wale wanaofikiria Suala la Vita kuu kubwa zinazoendeshwa dunia na mambo mengine hayatobadilika hata chembe,walichojarbu kuzuia kwa taifa lao ni Mtu mweusi kurudi tena ikulu ya WHITE (elewa hapa) HOUSE. Tena huyo mweusi ni Mwanamke.
Kwa sisi ngozi nyeusi tuendelee kuamini hiki kizazi cha hawa weupe ambao waliowahi kututawala, kutubagua, kutunyanyasa na kupora mali zetu za asili kua wameokoa na ni Mitume ktk zama hizi.
Nilifatilia namna Hawa Weupe walivyoungana,kwa kithibitisha fatilia hata mikutano mingi ya Trump walijaa Hawa ngozi nyeupe.