fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,598
- 4,473
Matatzo gani Tena boss daahPambana na matatizo yako
uko sahihi, naona trump kashinda in all venues...imenikata maini sanaWamarekani ni wabaguzi sana hasa Hawa weupe wanaojiona ndo binadamu,si ajabu ndo mana wamarekani weusi wanabaguliwa mpaka Dunia ya Leo ya mwangaza.
Wamempiga chini Kamala kwa sababu ya uanamke wake na ngozi yake yenye uweusi ndani yake.Naamini wale manguli weupe kama Trump,Elon musk bado wanaamini wao ndo Wana haki na Taifa Hilo,na hata kwa Obama nafikiri walimchagua ili kujarbu kubalance ubaguzi ila hata Leo nafikiri ni doa kubwa kwao.
I hope wanafuraha Sasa mzungu pure ndo kashinda.Suala la Vita na mambo mengine hayatobadilika hata chembe,walichojarbu kuzuia TU ni taifa lao Kua na Mtu mweusi Tena Mwanamke.Tuendelee kuamini hiki kizazi cha hawa weupe ambao waliwahi kututawala,kutubagua,kurunyanyasa na kutupora kua ni Mitume ktk zama hizi.
Nilifatilia namna Hawa Weupewalivyoungana,na hata mikutano mingi ya Trump walijaa Hawa ngozi nyeupe
Huyo jamaa anashangaza sana, bora huo ubaguzi uendelee tuKwa hiyo ulitaka USA wamchague huyo kamala kwa sababu ni mwanamke na mweusi au wewe mwananchi wa urambo ulitakaje.
Marais 47 hakuna mwanamke hata mmojaKwamba Trump angekuwa mweusi na huyu mwanamama angekuwa mweupe hali ingekuwa tofauti?
Si mwanamke tu,huko mbeleni taifa la marekani halitoruhusu Tena kuongozwa na ngozi nyeusiE bana ee kama ubaguzi ni kutomruhusu mwanamke kuongoza, bora huo ubaguzi uendelee tu.
Nakubaliana na huo ubaguzi wa marekeni kwa 100%
Elewa point mkuu,ukiwalinganisha Trump na Kamala utaelewa ni nani Rais na nani chizi.Kwa hiyo ulitaka USA wamchague huyo kamala kwa sababu ni mwanamke na mweusi au wewe mwananchi wa urambo ulitakaje.
Ni sawa tu kuliko kuongozwa na mwanamkeSi mwanamke tu,huko mbeleni taifa la marekani halitoruhusu Tena kuongozwa na ngozi nyeusi
Kwa hii thinking capacity kweli unaishi kwenye nchi inayojengewa vyoo na wafadhili.Wamarekani ni wabaguzi sana hasa Hawa weupe wanaojiona ndo binadamu,si ajabu ndo mana wamarekani weusi wanabaguliwa mpaka Dunia ya Leo ya mwangaza.
Wamempiga chini Kamala kwa sababu ya uanamke wake na ngozi yake yenye weusi .Naamini wale manguli weupe kama Trump,Elon musk bado wanaamini wao ndo Wana haki na Taifa Hilo,na hata kwa Obama nikiri walimchagua ili kujarbu kubalancemambo ya ubaguzi ila hata Leo kwao ni doa kubwa lisilofutika.
I hope wanafuraha Sasa mzungu pure ndo kashinda.
Kwa wale wanaofikiria Suala la Vita kuu kubwa zinazoendeshwa dunia na mambo mengine hayatobadilika hata chembe,walichojarbu kuzuia kwa taifa lao ni Mtu mweusi kurudi tena ikulu ya WHITE( elewa hapa) HOUSE. Tena huyo mweusi ni Mwanamke.
Kwa sisi ngozi nyeusi tuendelee kuamini hiki kizazi cha hawa weupe ambao waliowahi kututawala,kutubagua,kutunyanyasa na kupora mali zetu za asili kua wameokoa na ni Mitume ktk zama hizi.
Nilifatilia namna Hawa Weupe walivyoungana,kwa kithibitisha fatilia hata mikutano mingi ya Trump walijaa Hawa ngozi nyeupe
Angalia boss wazungu walivyoungana ktk hili,hata kwenye mikutano mingi na wanaomuunga mkono trump hapo USA ni wazungu weupe tipikali.Ni aina ya ubaguzi pia kutaka Harris ashinde kwa sababu tu ya rangi na uanamke wake.
Either way ubaguzi ni ubaguzi tu
Ni bora zaidi kuongozwa na chizi wa kiume aisee kuliko mwanamke mwenye akili timamuElewa point mkuu,ukiwalinganisha Trump na Kamala utaelewa ni nani Rais na nani chizi.
Sasa Bora wamuweke chizi kuliko mwanamke/mweusi
Aisee nimecheka sana,daaah Mimi nime argue namna mambo yalivyo.Hebu jarbu kufanya research kuanzia Bwana Elon musk alivyotumia platform yake ya tweeter/X na hata wazungu wenzao waliokua Wana endesha hii issue ktk mitandao.Kwa hii thinking capacity kweli unaishi kwenye nchi inayojengewa vyoo na wafadhili.
Ulitaka Wamarekani wamchague Kamala kisa tu ni MWANAMKE na MWEUSI ili wasionekane wanaubaguzi??
Nimeelewa tatzo lakoNi bora zaidi kuongozwa na chizi wa kiume aisee kuliko mwanamke mwenye akili timamu
Asante sana kwa kunielewaNimeelewa tatzo lako