Uchaguzi wa Marekani ni uthibitisho wa Ubaguzi hautoisha duniani

Angalia boss wazungu walivyoungana ktk hili,hata kwenye mikutano mingi na wanaomuunga mkono trump hapo USA ni wazungu weupe tipikali.
Hapa issue si mwanamke/mweusi issue hebu walinganishe,huoni Kama trump ni chizi
Mbona majimbo yenye weusi wengi kama Georgia Trump kashinda badala ya Haris.
Na sisi Africa tuanze kuwapa Uraisi wenye asili ya Ulaya ili tusionyeshe Ubaguzi.
Alafu huwezi kuwapigia wananchi au Taasisi za zenye Mamlaka na Nchi wamchague flani kwa interest zako badala ya zao
 
Umeongea upuuuzi mzito sn

Huyo mgombea wenu hakuwa na sifa za kumshinda Trump

Chama chenu (Democratic) kilipoteza sifa za kuiongoza nchi na kimeiletea hasara kubwa Marekani

Wanufaika wakubwa was Sera Democratic walikuwa nchi za ulaya na vyombo vingi nya habari vya ndani ya Marekani na nje ya Marekani na ndio maana vilikuwambele kumpigia kampeni huyo mpuuzi wenu lkn warekani wengi walikuwa wameshaliona Hilo ndio maana unaona wameamua maamuzi sahihi
 
Si ndo hapo mkuu 🤣kuna wale wazee wa hamas mwanangu huo mda wa kufatilia wanatoa wapy Sema it's a matter of interest
Pambana na matatizo yako, ni mengi mno mpaka Nawaza unapata wapi mda wa kutafakari matatizo ya Marekani!
 
Waafrika mna inferior complex ya kipumbavu sana.Wamarekani hawawezi kumpa mwanamke uongozi wa nchi,ni mpumbavu ndo hawezi tambua hili.
Surely. Watu watafute kitabu kinaitwa future shock cha alvin toffler. Watapata madini mengi kuhusu siasa za marekani. Binafsi mimi bora trump kashinda
 
Mbaguzi wa kwanza ni mtu mweusi.
Jana nilienda halo shop (duka la halotel.) moshi muda naanza kuhudumiwa wakaja wazungu wawili. Mtoa huduma akaniambia nenda kakae kwanza tuwahudumie hawa. Aisee nilikinukisha mpk wale wazungu ikabidi wasubiri kwanza. Sisi watu weusi tuna shida wazungu hawabaguani ndyo maana ni ngumu kubaguliwa na race nyingine.
 
Na vp kuhusu chaguzi zetu hapa Nchini,ambapo ni weusi pyuwaa,una maoni gani mkuu.
 
Mbona walimchagua Obama mwaka 2008 na 2012 kama ni wabaguzi?
 
Unafikili marekani ni kichwa ya mwendawazimu mpaka aruhusu kutawaliwa na lishangazi.
 
Kamala hakuwa na sifa za kuwa hata mbunge kama ulikuwa unamfuatilia, kwanza inashangaza hata kwa wingi wa kura alizopata.

Trump ni mahiri kwa uongozi mkubwa ana udhaifu kwenye mambo machache. Halafu mbona blacks wengi tu wamempigia kampeni Trump.
 
Kwanza kile kimama sijawahi kielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…