Pole sana
Aliposhinda Obama mbona mlikuwa kimya kusema rais wa kwanza mweusi ?
Hakuna ubaguzi wowote US ndio taifa pekee ambalo linampa chance za kufanikiwa mtu yoyote awaye na kutoka taifa lolote muhimu ukijituma na kufuata sheria.
Trump unayesema ni mzungu pure ukifuatilia asili yake sio wa hapa, wenyeji halisi wa US ni red Indians.
Marekani imejengwa kwa diversity na itabaki kuwa hivyo , niambie kuna nchi gani inatoa chance kwa wahamiajia 50000 kila mwaka kuja kuishi na kufanya kazi US?