Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Dodoma: Rais Samia achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Taifa kwa kupata kura zote 1862 zilizopigwa

Nilipopitia kwenye mtandao wa Ig ...nilianza kuona upepo wa huyu jamaa.

Pia juzi kati alivyojinasibu kuwa kagraduate masuala ya Uongozi.

Nahisi pia hayati JPM may be alimuandalia hili fungu.

Ila muda ni hakimu + mwalimu mzuri.

Tusubirie dk 90 za mchezo.
 
Sisimu hawawezi kuweka mtu mstaarabu kwa kuwa wanataka mtu wa kuropoka ropoka na kutukana kuwakata maini upinzani style za kina nape na makonda, kibajaji angekuwa na elimu nzuri wangempa lazima, mzee wa kashfa.
+ wakina Bashiru.

Bila ubabe mambo hayaendi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rais Samia Suluhu amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kura zote 1862 za ndio za Mkutano Mkuu Maalum sawa na asilimia 100.

 
Kwa hiyo Ina maana ndio sababu akajiongeza kwenda kubukua zaidi ama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…