Asha Ommary
Member
- Sep 1, 2020
- 97
- 90
- Thread starter
- #101
Kijiti cha uenyekiti kukabidhiwa rasmi leo...
Zote 1862 ni NDIYO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijiti cha uenyekiti kukabidhiwa rasmi leo...
Karibu mkuu wa CCM asipotokea kanda ya ziwa,CCM 2025 itapoteza viti vingi sana vya ubungeMakamu mwenyekiti wa CCM mzee Mangula amesema Zege hailali na kwamba leo sekretarieti mpya itatangazwa...
Endelea kukariri bwashee!
Kada ya walinzi na vibarua nayo itatangazwa upya ama itaendelea ile ile mkuu?Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Mangula amesema Zege hailali na kwamba leo sekretarieti mpya itatangazwa....
+ wakina Bashiru.Sisimu hawawezi kuweka mtu mstaarabu kwa kuwa wanataka mtu wa kuropoka ropoka na kutukana kuwakata maini upinzani style za kina nape na makonda, kibajaji angekuwa na elimu nzuri wangempa lazima, mzee wa kashfa.
Comrade Magoti Mungu anamuonaSumu haionjwi by Sumaye!
TusubiriHakika bwashee
Dr Mwigullu Nchemba anaweza kumrithi Dr Bashiru!
KwAtakuwa na vyeo vingapi?
Kuna ajira mpya za Wapika mbege.Kada ya walinzi na vibarua nayo itatangazwa upya ama itaendelea ile ile mkuu?
Apewe tu maana CCM haina mvuto tenaNilipopitia kwenye mtandao wa Ig ...nilianza kuona upepo wa huyu jamaa...
Siasa sio Uadui - Mama Kasema😂😂Rais Samia Suluhu amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kura zote 1862 za ndio za Mkutano Mkuu Maalum sawa na asilimia 100View attachment 1768896
Mwezi wa 5 ni kesho balaa litaanza tena haifiki tarehe 5Hahahaaaa....... CCM oyeee!
[emoji23][emoji23][emoji23]...Siasa sio Uadui - Mama Kasema[emoji23][emoji23]
Mwenyekiti wa chadema Lindi ahamia ccm katika mkutano mkuu,Mwezi wa 5 ni kesho balaa litaanza tena haifiki tarehe 5
Tunamtakia kheriHongera sana kwa Mama