Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Dodoma: Rais Samia achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Taifa kwa kupata kura zote 1862 zilizopigwa

Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Dodoma: Rais Samia achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Taifa kwa kupata kura zote 1862 zilizopigwa

Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan, amempendekeza mabadiliko ndani ya Chama Cha Mapinduzi ya SEKRETARIETI CCM na kuridhiwa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM katika kikao Maalumu kilichoketi Leo Mara baada ya Mkutano Mkuu wa Chama.


1. Mwenyekiti SAMIA Suluhu Hassan amependekezo yaliyotolewa na Mwenyekiti katika Sekretarieti Kuu CCM kuwa mhe.Daniel Chongolo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kuwa Katibu Mkuu wa CCM.View attachment 1769123


2. Mhe.Shaka Hamdu Shaka, kuwa Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi, akichukua nafasi ya mhe.Humphrey Polepole.

View attachment 1769049

3. Mheshimiwa Maudline Cyrus Castico, amechukuwa nafasi ya Pereira Ame Silima, ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

View attachment 1769056
Ipo kazi. Simjui Mr. Shoka lakini Maudline ni siasa kali kama Karune mdogo; sasa sijui kama kutakuwa na SUK khasa baada ya kumuona Makamo wa 1 akitembelea maskani kuhimiza sera za CUF kusalimia washindwa.
 
Nimepiga hesabu kama kila mjumbe atapewa million moja basi hesabu itakuwa kama hivi....
1862×1,000,000/=1,862,000,000/=
Kwa hiyo c chini ya billion mbili kasoro leo zimekatika.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Ni nyumbu tu atakayebaki chadema
Wembe ni uleule
 
Ipo kazi. Simjui Mr. Shoka lakini Maudline ni siasa kali kama Karune mdogo; sasa sijui kama kutakuwa na SUK khasa baada ya kumuona Makamo wa 1 akitembelea maskani kuhimiza sera za CUF kusalimia washindwa.
Kazi inaendelea CCM
 
Pongezi nyingi kwake kwa kupata kura 100%

wanachama na wananchi kwa ujumla wana imani kubwa juu ya uongozi weke.
 
Mimi nawaza tu hizo posho walizolipwa wajumbe wa mkutano huo kwa lengo ambalo halikuwa na ulazima wowote wa kukutana DODOMA. Wangeweza kupiga wakiwa majumbani kwao na badae angetangazwa tu kuwa amekuwa mwenyekiti.
 
CHADEMA mmezoea vyakunyonga vyakuchinja hamtoviweza. Mnataka CCM iende kinyume na Katiba na sheria zake? Ninyi mnahubiri amani ikiwa mnabastola viunoni.... embu tuonesheni demokrasia ndani ya chadema
 
Takriban wiki tatu mlikuwa mnalumbana juu ya kofia ya urais na Chairperson wa chama chenu cha CCM. Sasa leo mmepatia mama Samia huo uchairperson na mlukuwa mkisema kuwa ili achape kazi vizuri lazima awe na mamlaka ya kudhibiti wanachama wa Ccm wasiofaa na watanzania wasiofaa wasio wanaCcm.

Je ataweza kufanya maamuzi magumu kutumia kofia ya uchairperson?

Kama kuzuia mafisadi waliotumia nyadhifa zao za kisiasa ndani ya CCM kuwepo kwa Kampuni kama Iptl?

Kudhibiti wanaCCM ambao bila aibu hutetea mikataba mibovu kama mkataba wa bandari ya Bagamoyo n.k

Ngoja tuone.
 
Mbona hamumuamini huyu mama?

Msichokijua kilichopangwa na Mungu hakizuiliki nyie subiri muda ufike historian mpya iandikwe.
 
Heading ipo vizuri haijapinda.

Naona sasa kila kamanda ni kushangilia juu ya mabadiliko yaliyotokea ndani ya Ccm.

Mara CCM halisi sasa wanarudishiwa chama chao, mara kilikuwa kimeporwa maana hayati alipokea wapinzani wengi. Sasa wenye CCM wamerudishiwa Chama chao, makamanda mtapata faida gani?

Mbona sisi Chadema tupo hoi? Mbona Mbowe ametuteka kwa kila namna? Fikiria alipotafuna bil 8, nani alihoji? Mbona Chama chetu hakina hata ofisi? Huu ni uzoba.
 
Back
Top Bottom