Ipo kazi. Simjui Mr. Shoka lakini Maudline ni siasa kali kama Karune mdogo; sasa sijui kama kutakuwa na SUK khasa baada ya kumuona Makamo wa 1 akitembelea maskani kuhimiza sera za CUF kusalimia washindwa.Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan, amempendekeza mabadiliko ndani ya Chama Cha Mapinduzi ya SEKRETARIETI CCM na kuridhiwa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM katika kikao Maalumu kilichoketi Leo Mara baada ya Mkutano Mkuu wa Chama.
1. Mwenyekiti SAMIA Suluhu Hassan amependekezo yaliyotolewa na Mwenyekiti katika Sekretarieti Kuu CCM kuwa mhe.Daniel Chongolo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kuwa Katibu Mkuu wa CCM.View attachment 1769123
2. Mhe.Shaka Hamdu Shaka, kuwa Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi, akichukua nafasi ya mhe.Humphrey Polepole.
View attachment 1769049
3. Mheshimiwa Maudline Cyrus Castico, amechukuwa nafasi ya Pereira Ame Silima, ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
View attachment 1769056