Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,933
- 5,394
Nawe humjui Marando, mpaka unahitaji miujiza kwa Marando, na iishie huko.
toka 2007 una post 16?
huna hata thanks moja!!
kalale tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe humjui Marando, mpaka unahitaji miujiza kwa Marando, na iishie huko.
inaonyesha 6 bado ni chaguo la wengi, mbona kapigiwa makofi???!!!!
au wanamfariji kiainami nawaona wote ni wanafiki tu hawawa ala
au wanamfariji kiaina
Wenje alikosea akampa Anna Makinda sijui hapo utamsemaje sasa.Marando kapata kura 53, yaani ni 45 za chadema 8 toka kwa wapiganaji ndani ya CCM tu, NCCR-0 TLP-0 CUF -0. Tujue tunawapiganaje 53 tu katika bunge hili.Mungu ibariki Tanzania
Acha umbeya, thanks ya nini, mie siishi kwa mtindo kama wako.toka 2007 una post 16?
huna hata thanks moja!!
kalale tu
ni ushabiki lakini jamani marando anafaa kuliko huyo headmistress
Acha umbeya, thanks ya nini, mie siishi kwa mtindo kama wako.
INA MAANA MABERE HAKUCHAGULIWA NA CUF. WALIOMPA NI KAMA IFUATAVYO;
CHADEMA ==45
NCCR ==3
UDP==1
S. SITA NA MKEWE==2
JENISTER MHAGAMA ==1
DR. MWAKYEMBE ==1
KAFULILA WA NCCR NA MREMA WA TLP NAO HAWAKUMPA.
DU.........KAZI KWEIKWEI......
:yield:
Salamu wana JF,
Ule mchakato wa kumpata spika mpya ndo umeanza asubuhi hii, kwa wana JF walioko on ground na wale wanaofatilia kwenye TV tunaweza kuitumia thread hii ili kuhabarishana live news.
MATOKEO:
Kura zilizopigwa jumla ni 327
Zilizoharibika ni kura 9
Anna...kura 265....SPIKA 74.2%
Marando.....kura 53
acha umbeya, thanks ya nini, mie siishi kwa mtindo kama wako.
Wangapi hao wapiganaji, si wengi kama unavyozani, we subiri libeneke litakapoaanza tu utaona wapiganaji ni akina nani.Makinda anayokazi ya kuhimili nguvu ya wapiganaji wa CHADEMA. Hawa wengine sijui CUF hana shida nao kwakuwa ni 2nd CCM.
Wa baba yako unanifukiza, andika jina jingine basi uondoe kuwa ni jamii kama unazani uko sahihi, sasa kama mie cuf na wewe Chadema tatizo ni nini sasa.ukwel unauma...alichokwambia jamaa ni kwel kabisa...
Kwanza wewe ni cuf ndo mana umetuwekea jina la mtandao wenu hapo..
Toka humu ndani ujaitwa
Halafu hii habari ya kila mbunge kuapa pekee inapoteza muda tu, wangeapishwa wote kwa mpigo, ukiwa bungeni na hujakataa iwe binding. Sio watu wanatumia kikao kizima kuapishana tu, wanaongeza gharama tu bila ufanisi.
Ya nini???. Sijaja kutafuta sifa.Mmenifurahisha sana majibizano yenu. Thanks haina deal kwako?