Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

wangapi hao wapiganaji, si wengi kama unavyozani, we subiri libeneke litakapoaanza tu utaona wapiganaji ni akina nani.

wewe kilaza bado umekomaa tu humu ndani??
Hebu nenda kafungue issamichuzi ndo ya ccm na yenu cuf

Jambo moja ambalo CCM wanashindwa kulielewa ni ile kanuni ya maisha kwamba kila kitu kina climax yake na ikifika hapo basi kinachofuata ni kuporomoka. Zimepita dola nyingi tu dunia, wanahistoria watatusaidia lakini za karibuni ni ile ya Warumi, Wajerumani, Waingereza na sasa Wamarekani ambao nao tayari wameanza kuwahofia Wachina.

Kwa kanuni hiyo ni wazi CCM itaanguka tu, na tayari dalili zimeanza kuonekana, na hata wakilazimisha vipi haitawezekana kuzuia mabadiliko. Wametumia sana usanii katika miaka ya karibuni, bado hali sio nzuri kwao kinachokuja ni kuporomoka hata watumie risasi, wakati ukifika watatoka tu.

Sureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ukwel unauma...alichokwambia jamaa ni kwel kabisa...
Kwanza wewe ni cuf ndo mana umetuwekea jina la mtandao wenu hapo..
Toka humu ndani ujaitwa

mkuu kwani cuf humu hawaruhusiwi au kuna lingine alilofanya?
 
Wa baba yako unanifukiza, andika jina jingine basi uondoe kuwa ni jamii kama unazani uko sahihi, sasa kama mie cuf na wewe Chadema tatizo ni nini sasa.

KWAN HADI UWE WA BABA. NYIE NDO MAMLUKI AMBAO HAMTAKIWA>>>>
Pichu.............. yko
 
Anna Makinda kabeba jukumu la kuimaliza au kuijenga Tanzania. akumbuke kuwa mambo mengi bado Tanzania. kumng'oa Sita inamaanisha Tanzania is officially screwed by Mafisadi and the Higher gap between the " The haves and Have-not" would Increase. Tanzania mambo bado.....!!!!!!!!!1
 
Last edited by a moderator:
wewe kilaza bado umekomaa tu humu ndani??
Hebu nenda kafungue issamichuzi ndo ya ccm na yenu cuf

Pengine wewe ndo kilaza kuliko vilaza wote, nimewaambiwa badilisheni basi muite Chademaforum, kama cuf hawana nafasi hapa.
 
KWAN HADI UWE WA BABA. NYIE NDO MAMLUKI AMBAO HAMTAKIWA>>>>
Pichu.............. yko
Utayaandika yote ila jawabu unalo, maana unachofikiri usizani kila mtu anafikira kama zako, badilisha jina tu itanifanya nijiondoe.
 
mkuu kwani cuf humu hawaruhusiwi au kuna lingine alilofanya?

wanaruhusiwe lakini sio cuf wale ambao wana urrho,tamaa,unafiki ktk madaraka... mana wao msimu uliopita waliachwa wakaongoza wao tu upinzani bungen.. leo hii wanataka wagawane na chadema,
.......................MUOSHWA HUOSHWA
 
Wana mabadiliko tuzidi kwenda mbele kama kawa, najua CUF wana bifu na chadema kwa sababu walitaka wawe nafasi ya pili bara ili waungane na CCM kuiangamaza CHADEMA chama chetu,

Kazi ndo imeanza na tuanza mapambano ya kweli tulikuwa na wabunge 11 2005, leo tunao 45 kwa trend hiyo 2015 tutakuwanao 180, zaidi ya nusu ya wabunge wote hapo ndipo tutafanya mabadiliko ya kweli.

Hata hivyo CUF wana muungano na CCM, huwezi kunishawishi eti katibu mkuu wa CUF yuko CCM, Mgombea mwenza wa CUF anaikubali CCM eti sisi tunaopinga ssm na mafisadi wake tuanze kuungana na CUF, Mrema na Mbatia haiwezekani. maana ingekuwa hivyo hata kwenye kutafuta kura tungeungana nao.

peoples Power
 
mkuu kwani cuf humu hawaruhusiwi au kuna lingine alilofanya?
Labda useme wewe, maana inaonyesha kusikilizwa lazima uwe na thanks, na wanazani wako sawa kumbe sio, fanya kitu iwe ya jamii sio kundi au genge fulani, mbona forum mnataka kuibadili. Waiache iitwe jamiiforums sio vinginevyo.
 
Kura zilizopigwa jumla ni 327
Zilizoharibika ni kura 9

Anna...kura 265....SPIKA 74.2%

Marando.....kura 53[/COLOR]
[/FONT]

hii asilimia mbona haipo sawa ndo ilivyotangazwa au makosa ya muandishi hapa?

265 ya 327 ni around 81%
 
Pengine wewe ndo kilaza kuliko vilaza wote, nimewaambiwa badilisheni basi muite Chademaforum, kama cuf hawana nafasi hapa.
kama huna cha kuongea pisha wanaume waongee toka uanze unaharisha upupu tu unatujazia mipost ya kijinga nitakutukania muda si mrefu sh.................type.
 
pengine wewe ndo kilaza kuliko vilaza wote, nimewaambiwa badilisheni basi muite chademaforum, kama cuf hawana nafasi hapa.

kwan umeambiwa jf ni ya chadema???
Hii ni ya watu wote wapenda maeendeleo na mabadliko tz na sio watu kama "zantel" ambae anakua mpinzani ndani ya upinzani
 
kwan umeambiwa jf ni ya chadema???
Hii ni ya watu wote wapenda maeendeleo na mabadliko tz na sio watu kama "zantel" ambae anakua mpinzani ndani ya upinzani
Haya bana naja na CUFFORUM
 
kama huna cha kuongea pisha wanaume waongee toka uanze unaharisha upupu tu unatujazia mipost ya kijinga nitakutukania muda si mrefu sh.................type.

Bora umesema mkuu mana makaona kajamaa kanajiongelea pumba tu hakataki kurekebishwa
 
kama huna cha kuongea pisha wanaume waongee toka uanze unaharisha upupu tu unatujazia mipost ya kijinga nitakutukania muda si mrefu sh.................type.

Hivi Quinine una Taarifa za Malaria Sugu? Ameadimika sana au alipata Viti Maalum na Yuko Mjengoni anaapa? Maana alisimama sana kutetea CCM Ila baada ya Uchaguzi naona Sijui CCM Wamemkatia Internet Connection?
 
Back
Top Bottom