Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

kama kukokotoa asilimia tu wameshindwa, sijui hiyo kamati ya uongozi ya bunge inaweza nini.

Anne Makinda 74%
Marando 16%
ziloharibika 3 %

hivi hawakuona kama wanatangaza utumbo? Makinda kashinda kwa asilimia 81% waandike vizuri kwenye hansad zao.
 
still unaendlea kuonyesha ukilaza wako humu ndani

Ya nini malumbano ya nini maneno? Zantel jiweke pembeni kuepusha msongamano........
Pass tulia, endelea na harakati za mabadiliko.
 
Si mmmeona mnajitosheleza? au ubinafsi wenu hamuuoni!!!!! nimekereka sana na hili kwani hamkujua kuwa kwa kuwa na asilimia 12% hamwezi kushinda uspika?:A S angry:

Mkurugenzi wa Masuala ya Bunge wa Chadema, John Mrema aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa chama hicho kimemteua Mbowe kuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni, Naibu wake ni Zitto na Tundu Lisu anakuwa Mnadhimu Mkuu.Mbowe ni Mbunge mteule wa jimbo la Hai, Zitto Kigoma Kaskazini na Tundu Lissu, Singida Mashariki.

"Tuna asilimia 12.5 ya wabunge na hiyo inatupa nafasi ya kuunda kambi ya upinzani bungeni," alisema Mrema.

Source: Mwananchi
Jamani kabla ya kutuma post yoyote za kulaumu muhakikishe mmefanya japo ka utafiti kidogo,jaribuni kuchimba ndani zaidi msiache hisia zenu zikawatawala. narudia tena, chadema kwa idadi ya wabunge walio nao ni kweli sheria inawaruhusu kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni. lkn kabla hawajafanya hivyo waliwashirikisha wenzao CUF kuhusu uwezekano wa kushirikiana kuunda hiyo kambi ya upinzani lkn CUF waliwapa masharti ya kuwahusisha vyama vya NCCR,TLP na UDP kitu ambacho kilikuwa kigumu kwa upande wa chadema.
 
Jenerali Ulimwengu alisema, tukichagua kama majuha tukatendewa ovyo tusilalamike kama vichaa.
Tumechagua kijuha wabunge mabogas wanaojijali wao na vyama vyao badala ya taifa, tusilalamike kama vichaa.
Kwanza tuukubali ukweli halafu tuwe tayari kukabiliana na lolote litakalotokea maana kwa rais na spika hawa, sitegemei zuri lolote toka kwao.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Mnaomba baraka ya Mungu ya nini? Mmeshindwa kutumia maarifa aliyowapa bure sasa mnataka Mungu awape nini?
Mawazo yenu mnafikiri Dr. Slaa kaibiwa kura. Kama alivyosema Ulimwengu Dr. kaibiwa kura moja tuuu, watanzania ndo wameibiwa kura, kuonyeshwa dharau kubwa kwamba hawana SAY kwenye lolote na wameshindwa kujitetea na wanasubiri 2015 kuibiwa tena.

Mmeruhusu maafa! Sasa its DOWNHILL from here!
TAIFA hili limelaaniwa na ujinga!
 
Jamani kabla ya kutuma post yoyote za kulaumu muhakikishe mmefanya japo ka utafiti kidogo,jaribuni kuchimba ndani zaidi msiache hisia zenu zikawatawala. narudia tena, chadema kwa idadi ya wabunge walio nao ni kweli sheria inawaruhusu kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni. lkn kabla hawajafanya hivyo waliwashirikisha wenzao CUF kuhusu uwezekano wa kushirikiana kuunda hiyo kambi ya upinzani lkn CUF waliwapa masharti ya kuwahusisha vyama vya NCCR,TLP na UDP kitu ambacho kilikuwa kigumu kwa upande wa chadema.

uGUMU UKO WAPI? Ni ubinafsi tu.

POA CUF WAMEONYESHA UMOJA. WALICHOTAKA CHADEMA KUJIONYESHA KUWA KUNA BIG 2 TU ZA UPINZANI BUNGENI. KITUAMBACHO CUF HAWAAMINI HIVYO, KWASABABU HUWEZI KUFANYA MAKUBWA SANA NA VIASILIMIA 12- 20. NI LAZIMA KUONGEZA ZAIDI.

HIKI CHAMA CHA KUKIANGALIA SANA NDUGU ZANGU WATANZANIA. MIAKA HII 5 NI MIAKA YA KUKIANGALIA TU CHADEMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

HIKI CHAMA KITATUPELEKA PABAYA, HUKU WANPENZI WAKE WAKIKITETEA HATA KWENYE KASORO.

SEMENI HADHARANI KUIWA HII NI KASORO YA UMMOJA WA VYAMA PINZANI.
 
mie sijalaania labda nyie wakina A Lady!!
 
Kazi kweli kweli! CUF wameungana na CCM kupambana na CHADEMA! Acha kutumia udongo jaribu ubongo
 
Jamani kabla ya kutuma post yoyote za kulaumu muhakikishe mmefanya japo ka utafiti kidogo,jaribuni kuchimba ndani zaidi msiache hisia zenu zikawatawala. narudia tena, chadema kwa idadi ya wabunge walio nao ni kweli sheria inawaruhusu kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni. lkn kabla hawajafanya hivyo waliwashirikisha wenzao CUF kuhusu uwezekano wa kushirikiana kuunda hiyo kambi ya upinzani lkn CUF waliwapa masharti ya kuwahusisha vyama vya NCCR,TLP na UDP kitu ambacho kilikuwa kigumu kwa upande wa chadema.

sasa wewe ulitaka makamu wawe nani??? mrema unamjua vizuri machepele yake, CUF ndo haooooo...
wameshakuwa CUFCCM ulitaka apewe nani?? kuwapa CUF sisawa na kusema sasa kupitia mgongo wa CUF tuna kuwa na chama cha CUFCHADEMACCM
 
uGUMU UKO WAPI? Ni ubinafsi tu.

POA CUF WAMEONYESHA UMOJA. WALICHOTAKA CHADEMA KUJIONYESHA KUWA KUNA BIG 2 TU ZA UPINZANI BUNGENI. KITUAMBACHO CUF HAWAAMINI HIVYO, KWASABABU HUWEZI KUFANYA MAKUBWA SANA NA VIASILIMIA 12- 20. NI LAZIMA KUONGEZA ZAIDI.

HIKI CHAMA CHA KUKIANGALIA SANA NDUGU ZANGU WATANZANIA. MIAKA HII 5 NI MIAKA YA KUKIANGALIA TU CHADEMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

HIKI CHAMA KITATUPELEKA PABAYA, HUKU WANPENZI WAKE WAKIKITETEA HATA KWENYE KASORO.

SEMENI HADHARANI KUIWA HII NI KASORO YA UMMOJA WA VYAMA PINZANI.

Mhe. Zawadi Ngoda,

Inaonekana umesahau misimamo ya akina Augustino Lyatonga Mrema wa T.L.P. na hawa wagombea urais wengine watano, ambao wamedhihirisha kwamba wanajikomba kwa J.K. na CCM. Chadema wangekuwa hawaeleweki kwa WaTz waliomuunga mkono Dr Willibrod Slaa na Chadema kwa jumla wakati wa kampeni, kama wangeungana na Mrema n.k., kuunda upinzani bungeni.

Hata hivyo ningeshauri viongozi wa Chadema Bungeni, waendelee kuwasiliana na Wabunge wa CUF, hasa wale wa Tanzania Bara, ili washirikiane nao ktk mikakati ya kujenga hoja bungeni.
 
Kwa Idadi hii ya wabunge wa upinzani waliopo bungeni
Chadema 45
MCCR 4
UDP 1
TLP 1
CUF 31

kwa kura alizopata 53 ni kwamba Chadema wote wamempigia, pia kuna uwezekano mkubwa kuwa NCCR nao wamempia, UDP-Cheyo nina mashaka kidogo, TLP ni wazi hakumpigia Marando na CUF nashawishika kusema kuwa wote hawajampigia, kwa hiyo hapo utaona jumla ya kura kutoka upinzani ni zinakadirika kuwa
45 (Chadema) + 4 (NCCR) kwa hiyo jumla ni 49 (From Upinzani)
Jumla MArando (53)-49 (Upinzani)= 4(za CCM)
na waliompigia kutoka CCM ni wanawweza kuwa ni hawa: Sitta Samwel, Magret Sitta, A.Mwakyembe, Stella Manyanya,

all in all haya matokei hayastuhi sana kwa sababu ilitegemewa kuwa hivi
 
Mheshimiwa Zawadi Ngoda, nafikiri umewahi kusom au kusikia habari za mfalme sauli na kijana daudi. Sauli aliendelea kukalia kiti cha ufalme kwa kuwa daudi alikuwa bado mdogo, Mungu alianza kumdhihirisha daudi kuwa mfalme alipomsaidia kumuua goliati lakini bado daudi hakufanywa kuwa mfalme wakati huo, bado alikuwa mdogo na alipokua hakupigana na sauli, Mungu alimuweka kwenye nafasi yake baada ya sauli kufa vitani. Unafikiri kwa nini sauli hakufa kabla?
Kama utakumbuka baada ya daudi kumuua goliati watu walimshangilia sana na inawezekana walitamani angekuwa mfalme siku hiyohiyo.
Utake usitake Daudi wetu Dk. Slaa keshamuua goliati (kutusaidia kuujua ufisadi unaofanywa na serikali) na muda si mrefu utamwona akiwa kwenye nafasi yake. Kwa sasa yeye na chama chake wanakua na kupata uzoefu. Nitaendelea kuiombea baraka Tanzania ili Mungu ainusuru na watu kama wewe wanaoilaani japo haijalaaniwa na haitalaaniwa.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Mbona hii ni nzuri sana maana wabunge wengi wa CCM hawakupita kwa ridhaa ya wananchi kwahiyo dawa ni kuendelea kuwashtaki kwa wananchi, maana wa TZ sasa wameshaamka na kazi ni moja kuwafanya kama Masha, Dialo, Mrema AR/Batilda, Luhaula, Mramba, Marmo, etc. wasipofanya kazi hadi 2015 hawatoki kabisa.

Swala sahizi ni kuelimisha waTZ waelewe hata kama mtu ni msafi namna gani akishaingia CCM anakuwa Fisadi.

Peoples power
 
Kwa Idadi hii ya wabunge wa upinzani waliopo bungeni
Chadema 45
MCCR 4
UDP 1
TLP 1
CUF 31

kwa kura alizopata 53 ni kwamba Chadema wote wamempigia, pia kuna uwezekano mkubwa kuwa NCCR nao wamempia, UDP-Cheyo nina mashaka kidogo, TLP ni wazi hakumpigia Marando na CUF nashawishika kusema kuwa wote hawajampigia, kwa hiyo hapo utaona jumla ya kura kutoka upinzani ni zinakadirika kuwa
45 (Chadema) + 4 (NCCR) kwa hiyo jumla ni 49 (From Upinzani)
Jumla MArando (53)-49 (Upinzani)= 4(za CCM)
na waliompigia kutoka CCM ni wanawweza kuwa ni hawa: Sitta Samwel, Magret Sitta, A.Mwakyembe, Stella Manyanya,

all in all haya matokei hayastuhi sana kwa sababu ilitegemewa kuwa hivi

mh. Zawadi ngoda

CUF NDO'HIVYO TENA WAMESHAKUWA CUFCCM
 
Back
Top Bottom