Haya bana naja na CUFFORUM
wewe kilaza bado umekomaa tu humu ndani??
Hebu nenda kafungue issamichuzi ndo ya ccm na yenu cuf
still unaendlea kuonyesha ukilaza wako humu ndani
Jamani kabla ya kutuma post yoyote za kulaumu muhakikishe mmefanya japo ka utafiti kidogo,jaribuni kuchimba ndani zaidi msiache hisia zenu zikawatawala. narudia tena, chadema kwa idadi ya wabunge walio nao ni kweli sheria inawaruhusu kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni. lkn kabla hawajafanya hivyo waliwashirikisha wenzao CUF kuhusu uwezekano wa kushirikiana kuunda hiyo kambi ya upinzani lkn CUF waliwapa masharti ya kuwahusisha vyama vya NCCR,TLP na UDP kitu ambacho kilikuwa kigumu kwa upande wa chadema.Si mmmeona mnajitosheleza? au ubinafsi wenu hamuuoni!!!!! nimekereka sana na hili kwani hamkujua kuwa kwa kuwa na asilimia 12% hamwezi kushinda uspika?:A S angry:
Mkurugenzi wa Masuala ya Bunge wa Chadema, John Mrema aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa chama hicho kimemteua Mbowe kuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni, Naibu wake ni Zitto na Tundu Lisu anakuwa Mnadhimu Mkuu.Mbowe ni Mbunge mteule wa jimbo la Hai, Zitto Kigoma Kaskazini na Tundu Lissu, Singida Mashariki.
"Tuna asilimia 12.5 ya wabunge na hiyo inatupa nafasi ya kuunda kambi ya upinzani bungeni," alisema Mrema.
Source: Mwananchi
Jamani kabla ya kutuma post yoyote za kulaumu muhakikishe mmefanya japo ka utafiti kidogo,jaribuni kuchimba ndani zaidi msiache hisia zenu zikawatawala. narudia tena, chadema kwa idadi ya wabunge walio nao ni kweli sheria inawaruhusu kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni. lkn kabla hawajafanya hivyo waliwashirikisha wenzao CUF kuhusu uwezekano wa kushirikiana kuunda hiyo kambi ya upinzani lkn CUF waliwapa masharti ya kuwahusisha vyama vya NCCR,TLP na UDP kitu ambacho kilikuwa kigumu kwa upande wa chadema.
Acha uzembe QWINIkama huna cha kuongea pisha wanaume waongee toka uanze unaharisha upupu tu unatujazia mipost ya kijinga nitakutukania muda si mrefu sh.................type.
Mungu tubariki wanao
maana hapa tulipo hatujui tuyatendayo
Mnaomba baraka ya Mungu ya nini? Mmeshindwa kutumia maarifa aliyowapa bure sasa mnataka Mungu awape nini?
Mawazo yenu mnafikiri Dr. Slaa kaibiwa kura. Kama alivyosema Ulimwengu Dr. kaibiwa kura moja tuuu, watanzania ndo wameibiwa kura, kuonyeshwa dharau kubwa kwamba hawana SAY kwenye lolote na wameshindwa kujitetea na wanasubiri 2015 kuibiwa tena.
Mmeruhusu maafa! Sasa its DOWNHILL from here!
TAIFA hili limelaaniwa na ujinga!
uGUMU UKO WAPI? Ni ubinafsi tu.
POA CUF WAMEONYESHA UMOJA. WALICHOTAKA CHADEMA KUJIONYESHA KUWA KUNA BIG 2 TU ZA UPINZANI BUNGENI. KITUAMBACHO CUF HAWAAMINI HIVYO, KWASABABU HUWEZI KUFANYA MAKUBWA SANA NA VIASILIMIA 12- 20. NI LAZIMA KUONGEZA ZAIDI.
HIKI CHAMA CHA KUKIANGALIA SANA NDUGU ZANGU WATANZANIA. MIAKA HII 5 NI MIAKA YA KUKIANGALIA TU CHADEMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
HIKI CHAMA KITATUPELEKA PABAYA, HUKU WANPENZI WAKE WAKIKITETEA HATA KWENYE KASORO.
SEMENI HADHARANI KUIWA HII NI KASORO YA UMMOJA WA VYAMA PINZANI.
Jamani kabla ya kutuma post yoyote za kulaumu muhakikishe mmefanya japo ka utafiti kidogo,jaribuni kuchimba ndani zaidi msiache hisia zenu zikawatawala. narudia tena, chadema kwa idadi ya wabunge walio nao ni kweli sheria inawaruhusu kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni. lkn kabla hawajafanya hivyo waliwashirikisha wenzao CUF kuhusu uwezekano wa kushirikiana kuunda hiyo kambi ya upinzani lkn CUF waliwapa masharti ya kuwahusisha vyama vya NCCR,TLP na UDP kitu ambacho kilikuwa kigumu kwa upande wa chadema.
uGUMU UKO WAPI? Ni ubinafsi tu.
POA CUF WAMEONYESHA UMOJA. WALICHOTAKA CHADEMA KUJIONYESHA KUWA KUNA BIG 2 TU ZA UPINZANI BUNGENI. KITUAMBACHO CUF HAWAAMINI HIVYO, KWASABABU HUWEZI KUFANYA MAKUBWA SANA NA VIASILIMIA 12- 20. NI LAZIMA KUONGEZA ZAIDI.
HIKI CHAMA CHA KUKIANGALIA SANA NDUGU ZANGU WATANZANIA. MIAKA HII 5 NI MIAKA YA KUKIANGALIA TU CHADEMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
HIKI CHAMA KITATUPELEKA PABAYA, HUKU WANPENZI WAKE WAKIKITETEA HATA KWENYE KASORO.
SEMENI HADHARANI KUIWA HII NI KASORO YA UMMOJA WA VYAMA PINZANI.
Kwa Idadi hii ya wabunge wa upinzani waliopo bungeni
Chadema 45
MCCR 4
UDP 1
TLP 1
CUF 31
kwa kura alizopata 53 ni kwamba Chadema wote wamempigia, pia kuna uwezekano mkubwa kuwa NCCR nao wamempia, UDP-Cheyo nina mashaka kidogo, TLP ni wazi hakumpigia Marando na CUF nashawishika kusema kuwa wote hawajampigia, kwa hiyo hapo utaona jumla ya kura kutoka upinzani ni zinakadirika kuwa
45 (Chadema) + 4 (NCCR) kwa hiyo jumla ni 49 (From Upinzani)
Jumla MArando (53)-49 (Upinzani)= 4(za CCM)
na waliompigia kutoka CCM ni wanawweza kuwa ni hawa: Sitta Samwel, Magret Sitta, A.Mwakyembe, Stella Manyanya,
all in all haya matokei hayastuhi sana kwa sababu ilitegemewa kuwa hivi