Tayari huyu mama anayechangia TBC analizungumzia na kuendelea kuonyesha mashaka yake kwa Makinda, nadhani anamfahamu sana.
wabunge watakaopiga kura ni 325
Idadi ya wabunge ni 333
Mungu ni mwema, Mtikisiko unakuja
marando anampendekeza kamanda mdee kusimamia uhesabuji wakura
Mkuu wameongezeka tena? wasije wakachakachua kura