Uchaguzi wa Tanzania umeporwa

Uchaguzi wa Tanzania umeporwa

Sasa kama anapendwa kihivyo mbona mzime mitandao hadi watu wanatumia VPN, mbona tunasoma mnavyotumia nguvu nyingi kulazimisha huo "upendo".
Mngeruhusu wanaompenda kwa dhati wampende na walio na matatizo naye wawe huru kujieleza. Tunasoma madudu mengi mnafanya, aisei kule Zanzibar ndio usipime, tunasoma watu wanavyouawa.

Naona hata kuhutubia ili mtoe shukrani imekua nongwa Uchaguzi 2020 - Dodoma: Anthony Mavunde azomewa na wananchi
Mitandao inaweza kutumika kama silaha nzuri kwenye social engineering na kupandikiza jambo zuri au baya kwenye vichwa vya watu.
Hiyo ni silaha kubwa inayotumiwa na wenzetu.

Watu wengi hawana uwezo wa kuchambua taarifa hivyo wanaamini kila wanachosikia au kukiona mitandaoni.

Uongo ukirudiwa sana unaonekana kama ndio ukweli.
 
Mzuie mitandao wakati mumeshinda kwa karibu 100%
 
CCM wameiba kura! Bila haki hii nchi haitaenda sawa!
Geza is very right here, i remember one time akina Dennis Itumbi would rejoice when the opposition was manhandled by the government, until they found themselves fitting the same shoes
 
CCM itafanya Tz kuwa cartel nation, too much of something is bad for your soul, u need opposition to balance things
 
Sasa kama anapendwa kihivyo mbona mzime mitandao hadi watu wanatumia VPN, mbona tunasoma mnavyotumia nguvu nyingi kulazimisha huo "upendo".
Mngeruhusu wanaompenda kwa dhati wampende na walio na matatizo naye wawe huru kujieleza. Tunasoma madudu mengi mnafanya, aisei kule Zanzibar ndio usipime, tunasoma watu wanavyouawa.

Naona hata kuhutubia ili mtoe shukrani imekua nongwa Uchaguzi 2020 - Dodoma: Anthony Mavunde azomewa na wananchi
Hakuna kupendwa anapendwa

Ata campaigns alikuwa anatumia wasani kujaza viwanja, unlike huyo mwingine

Kama ungekuwa free and fair jamaa sioni kama amepata ata zaidi ya 20%
 
Hakuna kupendwa anapendwa,
Ata campaigns alikuwa anatumia wasani kujaza viwanja, unlike huyo mwingine
Kama ungekuwa free and fair jamaa sioni kama amepata ata zaidi ya 20%
Wasanii wote wakubwa na wadogo zaidi ya 200 ni wanachama wa CCM. Tena wasanii wengine waligombea ubunge kwa kupitia CCM na wakashinda.

Hii maana yake kuwa CCM inawathamini vijana na in return vijana wanaikubali.
 
It was obvious Tanzania's election was not free and fair. We have been saying Mafuguli is a dictator and indeed he has proven himself to be one
Inanikumbusha mwai kibaki alivyoingia madarakani kwa second term
 
Ila wanainchi wengi kwenu nimepata fahamu waoga sana. Ingekuwa Kenya tayari pangenuka humo Ubungo na Buguruni..
Nyerere alizidisha dozi ya upole! Angalia Zanzibar mtiti mtiti pamoja na kupelekwa wanajeshi kwa maelfu! yani apo hao Feed Force Unit wanaimba kwamba ati waandamanaji wamewaacha peke yao mtaani wako lonely wanataka Wachumba watokee! Wasiwalenge washalipa chumba Guest House! Wapuuzi sana!
 
Nyerere alizidisha dozi ya upole! Angalia Zanzibar mtiti mtiti pamoja na kupelekwa wanajeshi kwa maelfu! yani apo hao Feed Force Unit wanaimba kwamba ati waandamanaji wamewaacha peke yao mtaani wako lonely wanataka Wachumba watokee! Wasiwalenge!
Wazenji si idadi kubwa Waislamu? Wale jamaa kweli vichwa maji 😅
Hawa tokea bara lakini wamewaangusha! Hamna budi basi kuyakubali yaishe! Labda vizazi vijavyo vitafanyia haki!
Amani na utulivu uwe nanyi Mkuu.
 
Nyerere alizidisha dozi ya upole! Angalia Zanzibar mtiti mtiti pamoja na kupelekwa wanajeshi kwa maelfu! yani apo hao Feed Force Unit wanaimba kwamba ati waandamanaji wamewaacha peke yao mtaani wako lonely wanataka Wachumba watokee! Wasiwalenge washalipa chumba Guest House! Wapuuzi sana!
we jamaa bora uachane na siasa na maswala ya uongozi ya kiserekeli maana ni mweupe sana yan takataka upande huu,
endelea tuu na upande wako wa project management
 
Povuuuu! Kwani unalazimisha awe na mtazamo kama wako?
Kuwa na ustaarabu!
 
Back
Top Bottom