Alikimbia ndoa, akaenda kujinasisha kwa Miss Tanzania wa zamani, hawa madada wa Instagram.Alachua na mke au ilikuwaje?
Kumbe Nkuba alimkimbia mkewe. Shenzi kabisa huyu.Ngosha unakimbia mkeo jamani.Alikimbia ndoa, akaenda kujinasisha kwa Miss Tanzania wa zamani, hawa madada wa Instagram.
Ova
Yule mpuuzi Mtatiro kaishia wapi?Mwabukusi kashinda kwa kura 1274
Kongole kwake Mwaisa
Leta habar kamili mkuuHuyu Sweetbert Mkuba imemshinda ndoa yake, angeiweza TLS? Uongozi wa kwanza huanzia kwenye familia kabla ya kwenda kwenye makubwa.
Ova
Vipi kamtelekeza mkewe?Hebu tiririka jamani.Huyu Sweetbert Mkuba imemshinda ndoa yake, angeiweza TLS? Uongozi wa kwanza huanzia kwenye familia kabla ya kwenda kwenye makubwa.
Ova