Asitumike kisiasa tu...
Mandela,Mahatma Gandhi,Obama hawa wote walitumia sheria mpaka mwishowe wakaleta matumaini kwenye jamii zao!!! Kwahyo Mwambukusi ni lazima stumble kisiasa kwa ajili ya Taifa hili✊🏿✊🏿

Kuna wakati Malcolm X aliwahi kusema taaluma ya sheria inahitaji harakati na siasa ndani yake kwa sababu muda wote unapambana na serikali ovu
 
Jumla ya kura: 2218
Kura zilizoharikika: 3

1. Boniface Mwabukusi - 1274
2. Sweetbert Nkuba - 807
3. Kapteni Ibrahim Bendera - 58
4. Paul Kaunda - 51
5. Emmanuel Muga - 18
6. Revocatus Kuuli - 7
Hii ni Reflection kuwa Uhuru na Ufairness kidogo tu Ccm chali.
 
Huyu jamaa huwa ana amsha amsha kinyama. Sijajua kama atapata ushirikiano kwa Rais mwenzake.
Hahaha... atapata tu kwa jinsi anavyozishona hoja.

Nina imani atachambua mambo na viongozi watawajibika kwa nafasi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…