✊️✊️✊️✌️✌️✌️Mwabukusi ameshinda kwa Kura 1,274 huku Sweetbert Nkuba akifuatia kwa Kura 807. Kwa matokeo hayo, Mwabukusi anakwenda kukiongoza Chama hicho cha Wanasheria kwa kipindi cha miaka mitatu.
Duh huyu jamaa hafai kabisa.Kamtelekeza mkuu, akaweka ndoa ya bomani na huyo Miss Tanzania wa zamani.
Ova
Kwenda Mahakamani huyo mtu ni haki yake endapo kama anaona kwamba hakutendewa haki.Ushauri wa meneja
View attachment 3060379
Tulikuwa na kikao cha familia hapa kidogo. Haikuwa fujo b... ni sherehe ndogo za ushindi. LolsYani nilijua tu, kwa jinsi nilivyolala mapema lazima nitamkuta cha fujo ameshavuruga huko, Wallah!
Lakini nimefurahi kwamba ulibaki kuwa hapa b… Nimependa.Tulikuwa na kikao cha familia hapa kidogo. Haikuwa fujo b... ni sherehe ndogo za ushindi. Lols
Ova
Tilikuwa na mtazamo sawaNilitaka kuuliza swali linalofanana
Usijidanganye. Kuna wale wanaofurahia ushindi halafu wapo wale wanaofurahi ili kujifarijia maumivu ya kushindwa.Nimesoma comments zote kabisa zilizopo kwenye thread hii, nimejifunza mambo mengi kutokana na Maoni ya watu yaliyopo hapa.
But all in all, Watu wengi zaidi wanaonekana kuwa Wana imani kubwa dhidi ya Wakili B.A.K Mwabukusi, wamefurahishwa na ushindi wake.
Inashangaza sana kwamba akisema yeye ni tishio kwa majizi na wala si serikali, huenda bado serikali isifurahie kauli yake hiyo.Anasema yeye siyo threat kwa serikali bali kwa majizi!View attachment 3060448
Umeingia ukumbini Kwa tiketi Gani ndugu Daktari?Haya Matokeo Rasmi sasa Yameanza Kutangazwa
Nkuba ni wahaya mixture, Si wasukuma.Kumbe Nkuba alimkimbia mkewe. Shenzi kabisa huyu.Ngosha unakimbia mkeo jamani.
Huyu mtu akiongea , hata Mjinga ataelewa.Anasema yeye siyo threat kwa serikali bali kwa majizi!View attachment 3060448
🤣🤣🤣Umeingia ukumbini Kwa tiketi Gani ndugu Daktari?
Au ndio ninyi mamluki🤔😀
Go mwaisa Go 😃Anasema yeye siyo threat kwa serikali bali kwa majizi!View attachment 3060448