Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Mwabukusi ameshinda kwa Kura 1,274 huku Sweetbert Nkuba akifuatia kwa Kura 807. Kwa matokeo hayo, Mwabukusi anakwenda kukiongoza Chama hicho cha Wanasheria kwa kipindi cha miaka mitatu.
✊️✊️✊️✌️✌️✌️
 
Ushauri wa meneja
Screenshot_20240803-115043.png
 
Mwabukusi amepata 55.7% ya kura zote.hii inamaanisha katika kila mawakiri 1000 mawakiri 557 walisema wanaimani na mwabukusi.443 walisema hapana kabisa.wito wangu wa kwanza kwake ni kujikita pia kujua ukweli uliopo kwa hao watu 443 ,ili aweze kuunganisha mawakili kikweli kweli.asibweteke ,wengi watawale wachache wasikilizwe
 
Yani nilijua tu, kwa jinsi nilivyolala mapema lazima nitamkuta cha fujo ameshavuruga huko, Wallah!
Tulikuwa na kikao cha familia hapa kidogo. Haikuwa fujo b... ni sherehe ndogo za ushindi. Lols

Ova
 
Tulikuwa na kikao cha familia hapa kidogo. Haikuwa fujo b... ni sherehe ndogo za ushindi. Lols

Ova
Lakini nimefurahi kwamba ulibaki kuwa hapa b… Nimependa.
 
Nimesoma comments zote kabisa zilizopo kwenye thread hii, nimejifunza mambo mengi kutokana na Maoni ya watu yaliyopo hapa.
But all in all, Watu wengi zaidi wanaonekana kuwa Wana imani kubwa dhidi ya Wakili B.A.K Mwabukusi, wamefurahishwa na ushindi wake.
Usijidanganye. Kuna wale wanaofurahia ushindi halafu wapo wale wanaofurahi ili kujifarijia maumivu ya kushindwa.
 
Anasema yeye siyo threat kwa serikali bali kwa majizi!View attachment 3060448
Huyu mtu akiongea , hata Mjinga ataelewa.

Nimenote point muhimu hapa.

Uhusiano wa Mwananchi na Serikali ni WA kikatiba,

Si hisani ya Serikali, hatutaomba Wala kubembeleza HAKI zetu,

Tutazidai na kuzichukua Kwa nguvu ikibidi.

NABII mwabukusi ubarikiwe 🙏
 
Back
Top Bottom