imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
✊️✊️✊️✌️✌️✌️Mwabukusi ameshinda kwa Kura 1,274 huku Sweetbert Nkuba akifuatia kwa Kura 807. Kwa matokeo hayo, Mwabukusi anakwenda kukiongoza Chama hicho cha Wanasheria kwa kipindi cha miaka mitatu.