Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Sema wewe matokeo unayotaka hayatakuja ndio manaa unakuwa mbishi.Kwahiyo ndio sababu hakuna matokeo rasmi mpaka sasa? sababu JF ni zaidi ya regular chombo cha habari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema wewe matokeo unayotaka hayatakuja ndio manaa unakuwa mbishi.Kwahiyo ndio sababu hakuna matokeo rasmi mpaka sasa? sababu JF ni zaidi ya regular chombo cha habari?
Wewe unataka impact gani?atakua na impact yeyote ya maana ?
The Open University of Tanzania (Chuo Kikuu Huria cha Tanzania).Mwabukusi alisomea LLB chuo gani? Anawachachafya sana.
una matatizo ya Akili wewe. Nimeuliza hayo matokeo mbona siyaoni kwenye vyombo vya Habari? nilitegemea itakuwa breaking News kubwa, mbona kimya so far? why naona watu wanapongeza tu humu kwenye Comment za JF?Sema wewe matokeo unayotaka hayatakuja ndio manaa unakuwa mbishi.
mi ni mlalahoi tu. atakua na impact?Wewe unataka impact gani?
una matatizo ya Akili wewe. Nimeuliza hayo matokeo mbona siyaoni kwenye vyombo vya Habari? nilitegemea itakuwa breaking News kubwa, mbona kimya so far? why naona watu wanapongeza tu humu kwenye Comment za JF?
Boniface Mwabukusi - 1467
Sweetheart Nkuba - 513
Siwezi kukubishia, inaonekana unamjua on personal levels, who am I to intervene on other people's domestic affairs.We humjui Mwakitusi wewe heeèee
Jamaa ni falaa! Bonge la ndezi hujawahi ona aseee. Ni kiazi mnooooo
Waliotoa matokeo ni Mawakala wa Wagombea kwenye KuhesabuMbona matokeo bado jamani, wanaharakati matokeo ya Mnyakyusa wameyatoa wapi?
Usitoke mkuu tupia kapichaMambo bado Ni tete hapa Ukumbini kinataka Kuwaka muda wowote Ngoja Niondoke kama nipo Nisije nikatenguliwa Mgongo 🤣🤣
Haya Matokeo Rasmi sasa Yameanza KutangazwaUsitoke mkuu tupia kapicha
Wakuu,
UPDATE saa 4:40 usiku: Baadhi ya mawakili warekodiwa wakiimba wana imani na Mwabukusi, tukio lililofanya na wengine waliokuwa ukumbini watoke kwenda kuangalia kuna nini. Za ndaniiiii ni kuwa Mwabukusi kachukua kijiji. Tusubiri taarifa rasmi ya Kamati maana mpaka sasa hola!
=====
UPDATE saa nne usiku: Tundu Lissu atoa shukrani kwa mawakili wenzake kwa sapoti waliyompa kipindi chote alichokuwa kwenye matatizo (baada ya kushambuliwa na watu wasiyojulikana. Atoa hoja kuhusu wamasai wa Ngorongoro kupelekwa Tanga, ambako kutokana na sheria za ushaguzi mtu hatakiwi kupiga kura tofauti na kituo ambacho alijiandikisha. Je, hatma yao itakuaje pindi itakapofika wakati wa uchaguzi?
Pendekezo lake (Lissu) ni kwamba uongozi unaokuja uchukue suala hili na kuangalia namna ya kuingilia kati
UPDATE saa Saba Mchana: TLS waomba radhi kupitia ukurasa wao wa X baada ya kupost kuwa zoezi la upigaji kura limeisha wakati mawakili wakiwa wanasubiri karatasi za kupigia kura ziongezwe.
Kusoma zaidi kuhusu taarifa hii soma hapa: TLS waomba radhi kwa post yao waliyoweka mtandao wa X kuhusu zoezi la kupiga Uchaguzi wa Rais TLS kumalizika
======
UPDATE saa sita mchana: Ukurasa wa X wa TLS wamepost kuwa uchaguzi umeisha, lakini upande mwingine taarifa ni kuwa karatasi bado zinazubiriwa kuongezwa ili zoezi la kupiga kura liendelee kwa wale ambao bado hawajapiga kura.
Zaidi kuhusu taarifa hii soma hapa: Ukurasa wa TLS X umesema zoezi la kupiga kura limeisha, upande mwingine wanasema wanasubiri karatasi za kupiga kura ziongezwe, ukweli ni upi?
===
UPDATE majira ya saa tano asubuhi: Zoezi la kupiga kura limesimama baada ya karatasi kuisha, mawakili wanasubiri karatazi ziletwe ili zoezi liendelee.
Zaidi kuhusu hili soma hapa: Uchaguzi wa Rais TLS: Karatasi za kupigia kura zimeisha, mawakili wanasubiri karatasi nyingine ziletwe ili zoezi liendelee
====
Leo ndio leo, ni kivumbi na kijasho, hatma ya Urais TLS kugundulika leo.
Uchaguzi wa Rais wa TLS uliokuwa unasubiriwa kwa hamu, kufanyika leo Agosti 2, 2024. Je nani ataibuka mshindi kati ya wagombea hawa sita?
Kama ulikosa mdahalo wa wagombea hawa pita hapa Mdahalo wa Wagombea Urais Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) mwaka 2024
1. Capt. Ibrahim Mbiu Bendera
2. Paul Revocatus Kaunda
3. Sweetbert Mkuba
4. Boniface Mwabukusi
5. Emmanuel Agustino Muga
6. Revocutus Lubigili Kibwe
Kwa kufatilia kwangu naona upinzani mkubwa upo kati ya
Sweetbert Mkuba na Boniface Mwabukusi.
Je, unadhani mshindi atatoka kati ya hawa wawili au tutapata mshangao wa kufunga mwaka kwa asiyetarajiwa kabisa kuibuka mshindi?
Usikae mbali na uzi huu kupata updates zote za yanayoendelea kwenye uchaguzi huu.
Aliacha na mke au ilikuwaje?Huyu Sweetbert Mkuba imemshinda ndoa yake, angeiweza TLS? Uongozi wa kwanza huanzia kwenye familia kabla ya kwenda kwenye makubwa.
Ova
Mungu ni mwema daimaNuru imeshinda dhidi ya kiza cha chama dola kongwe Tanzania kilichofanya nchi iwe koloni la CCM