Ataenda mahakamani. Mahakama za ngazi zote kama ambavyo Al Gore alivyofanya.
Al Gore alipogaragazwa na Governor Bush, alikuwa ni makamu wa Rais.
System ya kuhesabu kura Marekani iko tofauti sana.
Chama tawala au rais aliyepo madarakani hana influence yoyote ile maana uhesabuji wa kura unafanyika kwenye county level.
Sasa hapo inategemea ni watu wa mrengo upi walio in charge na county husika.
Figisu zinaweza kufanyika kwenye counties.
Halafu, Rais wa Marekani hana nguvu kama ilivyo Rais wa Tanzania.
Marekani hawana imperial presidency.