Uchaguzi wa USA: Georgia kurudia kuhesabu kura

Uchaguzi wa USA: Georgia kurudia kuhesabu kura

..Unataka kuniambia hawezi kuwatuma FBI na US Marshals wakafanya-fanya ashinde uchaguzi?

..hao mameya na ma-county executives hawezi kuwatia mahabusu siku mbili tatu, na kuwatoa baada ya kutangazwa?

..sasa wanamuita the most powerful man in the world kwa misingi gani?
Eti mkuu hata mm najiuliza, hawezi hata zima internet??

He is not the most powerful man at all.
 
Hahahaaaaa....Gile kumbe una akili eeeh!

Safi sana kwa kuligundua hilo!

Watu wanataka kumtwisha Trump kila aina ya lawama, wakati mambo mengine wala hahusiki nayo kabisa.

Mbaya zaidi, mtu anaongea kitu kwa uhakika kabisa kumbe mihemko tu.
 
Anachofanya Trump kinatia Aibu...

Mbaya mno. Kwa taifa tegemewa kama US.
AKUBALI KUSHINDWA TUUHHH.
Nope!

Hakuna ubaya... sina hakika kwa Gerogia lakini kwa majimbo mengine kuna ile sheria ya votes recount endapo mshindi anapatikana kwa less than 1%, na GA, Biden anaongoza kwa 0.1%

All in all, kwa anayemfuatilia Trump wala hawezi kushangaa yanayotokea kwa sababu hakuna uchaguzi ambao Trump hajawahi kulalamika!!
 
Nitaidharau sana USA endapo matokeo ya pili yatakuwa tofauti na ya kwanza
Kitacho kufanya uidharau USA ni kipi kama recount itazingatia na kutoa justice kwa mshindi halali?

Imeelezwa huko juu mbali na mgombea husika kudai recount kama hajaridhika na uhesabuji wa kura, pia ni takwa la kisheria kufanya recount endapo margin ya ushindi ni ndogo sana (less than 1%).
 
Baada ya pressure toka kwa DT hatimae maafisa wa uchaguzi wa jimbo la Georgia wamekubali kuruduia kuhesabu kura zote zilizopigwa kwenye jimbo hilo.

Source: BBc Swahili
mugah di mathew, pole sana. Nakushauri kwamba wakati mwingine ikitokea hujui kitu ni heri kuuliza. Marekani kila jimbo lina sheria zake za uchaguzi. Georgia ni jimbo linaloongozwa na GOP kwa ngazi zote tangu Gavana, wawakilishi hadi wasimamizi wa Uchaguzi na hivyo wote wanatoka chama kimoja na Trump.

Sheria zote zinazotumika kwenye uchaguzi zimetungwa na Congress ya Georgia na kurudiwa kuhesabu kura ni takwa la sheria na hutumika kama tofauti ya kura za wagombea ni chini ya asilimia fulani. Hii hufanyika bila pressure ya mtu yeyote hata kama mtu huyo ni Rais Donald Trump. Tuache tabia ya kukurupuka hovyo jamani.
 
..Unataka kuniambia hawezi kuwatuma FBI na US Marshals wakafanya-fanya ashinde uchaguzi?

..hao mameya na ma-county executives hawezi kuwatia mahabusu siku mbili tatu, na kuwatoa baada ya kutangazwa?

..sasa wanamuita the most powerful man in the world kwa misingi gani?
Kwa sababu anaweza kuingilia uchaguzi wa nchi zengine na hata kumuweka kibaraka,power hiyo hata Magufuli hana.
 
Tunamshukuru Mungu kwa kumuweka Trump kwani tumeutambua unafiki mwingi Sana wa Marekani.

Kumbe marekani nako kura huwa zinaibiwa??

Kumbe demokrasia wanayojinasibu kuwa nayo ni mapambio tu??

Shame.
 
Baada ya pressure toka kwa DT hatimae maafisa wa uchaguzi wa jimbo la Georgia wamekubali kuruduia kuhesabu kura zote zilizopigwa kwenye jimbo hilo.

Source: BBc Swahili
Wanarudia alafu pensylvania biden anashinda inakua useless
 
..Trump naye amezidi kuwa bwege na zezeta.

..Kwanini asiwatume FBI, NSI, na US Marshals, kufanya mambo yao?

..NSI iko chini ya Trump na iliweza kumdukua mpaka Chancellor wa Ujerumani.

..sasa wanashindwa nini kuzima mtandao, na kupachika goli la mkono, ili kumaliza mchezo?
 
mugah di mathew, pole sana. Nakushauri kwamba wakati mwingine ikitokea hujui kitu ni heri kuuliza. Marekani kila jimbo lina sheria zake za uchaguzi. Georgia ni jimbo linaloongozwa na GOP kwa ngazi zote tangu Gavana, wawakilishi hadi wasimamizi wa Uchaguzi na hivyo wote wanatoka chama kimoja na Trump.

Sheria zote zinazotumika kwenye uchaguzi zimetungwa na Congress ya Georgia na kurudiwa kuhesabu kura ni takwa la sheria na hutumika kama tofauti ya kura za wagombea ni chini ya asilimia fulani. Hii hufanyika bila pressure ya mtu yeyote hata kama mtu huyo ni Rais Donald Trump. Tuache tabia ya kukurupuka hovyo jamani.
Wanafikiri ndio Kura za kwenye mabegi.
 
Back
Top Bottom