mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Joe Biden alitumwa na jiwe bila shaka
Tanzania JPM kimataifa Trump
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Joe Biden alitumwa na jiwe bila shaka
Unatafuta ushahidi uchaguzi wa Tanzania au wa India?Una ushahidi mkuu?
NSA sio NSI...Trump naye amezidi kuwa bwege na zezeta.
..Kwanini asiwatume FBI, NSI, na US Marshals, kufanya mambo yao?
..NSI iko chini ya Trump na iliweza kumdukua mpaka Chancellor wa Ujerumani.
..sasa wanashindwa nini kuzima mtandao, na kupachika goli la mkono, ili kumaliza mchezo?