Uchaguzi Wa Viongozi Wa CCM Wateka Anga la Siasa za Tanzania, CHADEMA yashikwa Mateka

ccm ni mapunga yaliyolegezwa hayawez kupambana na chadema maana yamekuwa legelege na yakitelekezwa na polis fake na lile litume la mahera kwisha habari yao mbwa hao.
 
ccm ni mapunga yaliyolegezwa hayawez kupambana na chadema maana yamekuwa legelege na yakitelekezwa na polis fake na lile litume la mahera kwisha habari yao mbwa hao.
Ni Sera na ajenda za kueleweka ndio zinaibeba CCM, Ni dira na muelekeo unaoeleweka ndio unaofanya CCM iendeleee kuaminika na kuungwa mkono na mamillion ya watanzania
 
Umeandika ugoro mtupu
 
Ukiwa zombi kama wewe matusi ni lazima kwa sababu unayatafuta.
 
Ukiwa zombi kama wewe matusi ni lazima kwa sababu unayatafuta.
Sawa Basi endelea kutukana kwa kadri ya matusi yote uliyonayo kichwani mwako,tukana mpaka ubaki unanuka mdomo wako, Mimi nitakusamehe kwa kila tusi utakalo tukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…