Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ccm ni mapunga yaliyolegezwa hayawez kupambana na chadema maana yamekuwa legelege na yakitelekezwa na polis fake na lile litume la mahera kwisha habari yao mbwa hao.Ndiyo kazi mliyobakisha mnafundishwa huko chamani kwenu kutukana ,Ndio maana mnapuuzwa na watanzania. CCM huku huwezi kukuta mtu mwenye matusi Kama ninyi.sisi tunafundishwa kujenga hoja kuvumiliana kuheshimiana kukosoana kwa heshima na staha na upendo na uzalendo. Hii ndio sababu unaona CCM Inaendelea kudumu na kudumu madarakani maaana haina mbadala wake katika nchi hii kiuongozi na haitakujaa utokee mbadala wa CCm hapa nchini. Watu Kama nyie mmezongwa na msongo wa mawazo na kukosa msaada wa kisaikolojia
Ni Sera na ajenda za kueleweka ndio zinaibeba CCM, Ni dira na muelekeo unaoeleweka ndio unaofanya CCM iendeleee kuaminika na kuungwa mkono na mamillion ya watanzaniaccm ni mapunga yaliyolegezwa hayawez kupambana na chadema maana yamekuwa legelege na yakitelekezwa na polis fake na lile litume la mahera kwisha habari yao mbwa hao.
Umeandika ugoro mtupuNdugu zangu CCM imeonesha umwamba wake wa siasa za hapa Tanzania,imeonesha kuwa ndio chama kikubwa na chenye ushawishi hapa Tanzania, imeonesha namna CCM ilivyo na nguvu hapa nchini, Imeonesha misuli yake ya kisiasa, imeonesha namna kinavyokubalika na kupendwa na watanzania,imeonesha namna ambavyo Ni ngumu kuizuia CCM mlangoni.
Katika uchaguzi wa ndani ya CCM wa viongozi mbalimbali katika ngazi tofauti tofauti unaoendelea nchini kwote umekuwa Ni gumzo hapa nchini. Mijadala yote ya kisiasa katika vijiwe vyote,mitaa yote,vyombo vyote vya Habari,mitandao yote ya kijamii Ni juu ya CCM na uchaguzi, Ni juu ya Nani kapitishwa na Nani kakatwa na Nani apigiwe kura za Ndio na Nani awe na Subira.
Ni uchaguzi ambao umeviteka vyama vya upinzani hasa chadema na kujikuta Vimesimamisha shughuli zake zote za kisiasa na kujikita kufuatilia uchaguzi wa viongozi wa CCM, kwa kuwa hakuna habari inayovuma kwa Sasa Kama uchaguzi wa CCM, Chadema imegeuka na kuwa Tawi la kuwatambulisha wagombea wa CCm, chadema ndio wamekuwa Kama maafisa habari wa habari za CCM juu ya Nani kakatwa na sababu za kukatwa kwake, chadema kwa Sasa imejikita katika kufuatilia kwa kina kinachoendelea katika uchaguzi huu na kusahau shughuli zao za ndani ya chama Chao
Hii Ni kutokana na Nguvu waliyonayo na wanayokuwa nayo viongozi wa CCm, hii Ni kutambua ushawishi wa viongozi wa CCm katika masuala mbalimbali yanayogusa maisha ya watanzania,kwa kuwa Hawa ndio wafuatiliaji wa utekelezaji wa ilani ya CCM, Hawa viongozi wa CCm Ndio wenye wajibu wakufahamu ikiwa wananchi wanapata huduma na kuhudumiwa Kama ilivyo ahidiwa katika ilani kupitia uchaguzi mkuu,Hawa ndio wenye ofisi ambazo zimekuwa wazi muda wote na kimbilio kwa waliokata Tamaa au kuonewa au kudhulumiwa au kucheleweshewa haki au kupokonywa haki.
Hawa ndio sauti kwa wasio na sauti na nguvu kwa wasio na nguvu, Hawa ndio unaoweza ukawakimbilia na kupokelewa kwa uharaka,Hawa ndio wanaoweza kumsikiliza mwananchi mnyonge yeyote mwenye shida, Hawa ndio wanaojuwa Hali za kimaisha za watanzania na kuishi nao, Hawa ndio Tumaini la wote,Hawa ndio wanaoweza kumuita kiongozi yeyote wa serikali atoe majibu kwa maswali ya wananchi,Hawa ndio wenye masikio sikivu na macho ya kutazama kila kitu
Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii Daima Milele na Hakuna chama Wala mtu mwenye uwezo wa kuitikisa CCM hapa nchini ,hayupo na Wala hajazaliwa, Kama huamini Basi ondoka ndani ya CCM uone kama CCM itatikisika au kuteteleka. Hii ndio CCM chama kiongozi , Chama Cha Hayati Baba wa Taifa mwalimu Nyerere, Chama kinachoheshimika ndani na nje ya Tanzania,
Chama mkombozi wa nchi za kusini Mwa Afrika, chama kilichobeba matumaini ya watanzania, chama kinachokubalika na kuaminika na makundi yote ya watanzania,chama chenye dira na muelekeo unaoeleweka, chama kilicho na misimamo na misingi madhubuti , chama kinachotanguliza maslahi ya Taifa mbele. Ni chama kilicho katika mikono salama ya Mwenyekiti wake Shupavu,Mzalendo na Hodari mh Mama Samia Suluhu Hassan.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Ukiwa zombi kama wewe matusi ni lazima kwa sababu unayatafuta.Tumefundishwa ndani ya CCM kuwa na hekima busara uadilifu uvumilivu Subira uzalendo upendo n.k, wakati upinzani wamefundishwa kutukani kwa kadri ya uwezavyo na hapo ndipo utaitwa Kamanda mpambanaji,yaani Ni fulu matusi utafikiri mishipa ya ubongo imekatika
Sawa Basi endelea kutukana kwa kadri ya matusi yote uliyonayo kichwani mwako,tukana mpaka ubaki unanuka mdomo wako, Mimi nitakusamehe kwa kila tusi utakalo tukanaUkiwa zombi kama wewe matusi ni lazima kwa sababu unayatafuta.