Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hayo ni yakoUchaguzi au mazingaombwe mwenyekiti asiye na kikomo ni mbowe makamu lissu katibu mnyika wala msipoteze pesa kwenda tanga kufanya uchaguzi!
Yetu mimi na wewe!Hayo ni yako
mimi sihusiki na uchawiYetu mimi na wewe!
Umejuaje uchawi kama wewe mwenyewe hupai!mimi sihusiki na uchawi
Mwambe na Sumaye walipewa sumu gani ?Ni jambo jema
Sumu haionjwi πΌ
Hawakuonja πππ₯Mwambe na Sumaye walipewa sumu gani ?
Sasa huo uzushi umeokota wapi ?Hawakuonja πππ₯
Chadema HQ πΌSasa huo uzushi umeokota wapi ?
Yaani sisi wenye chama tusijue ila ujue wewe mamluki !Chadema HQ πΌ
Itatoka Fomu moja tu ya MboweTaarifa ikufikie Popote ulipo kwamba , Uchaguzi wa viongozi wa ngazi ya Kitaifa wa Chadema utafanyika mwezi wa 10 , 2024 , hii ni baada ya kumalizika kwa Chaguzi zingine zote za Chama hicho katika ngazi zote za chini .
Taarifa hii nzuri imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho Benson Kigaila .
NYONGEZA : Fomu za kugombea Uchaguzi huo zitachapishwa nyingi sana na Wakati ukifika Mtatangaziwa , Jitokezeni kuzichukua , hakuna kizuizi chochote , ukijipima kwamba unaweza jitokeze .
Mungu Ibariki Chadema
View attachment 2967247
Wewe unajua kwamba Serikali imeagiza Mwenyekiti wa sasa mh Ayatollah aendelee?! πΌYaani sisi wenye chama tusijue ila ujue wewe mamluki !