Pre GE2025 Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA kufanyika Oktoba 2024

Pre GE2025 Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA kufanyika Oktoba 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Iko wazi kwamba Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe alitangaza pale Mlimani City kwenye mkutano wa Bawacha kwamba huu ni muhula wake wa Mwisho anang'atuka na anapenda mrithi wake atoke Bawacha.
hatoki mtu hapa, kama kete yenu ccm ni hiyo, tfuta nyingine. Mbowe hatoki hapa.
 
Uchaguzi au mazingaombwe mwenyekiti asiye na kikomo ni mbowe makamu lissu katibu mnyika wala msipoteze pesa kwenda tanga kufanya uchaguzi!
Mbona hujawahili kulalamikia ccm inayokutia umaskini miaka na miaka
 
Mbona hujawahili kulalamikia ccm inayokutia umaskini miaka na miaka
Mikono na miguu ninayo umaskini uko wapi napanda ndege kila ijumaa hizo tiketi peke yake ndani ya mwezi fanya hesabu mwenyewe!
 
Back
Top Bottom