hatoki mtu hapa, kama kete yenu ccm ni hiyo, tfuta nyingine. Mbowe hatoki hapa.Iko wazi kwamba Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe alitangaza pale Mlimani City kwenye mkutano wa Bawacha kwamba huu ni muhula wake wa Mwisho anang'atuka na anapenda mrithi wake atoke Bawacha.