Pre GE2025 Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA kufanyika Oktoba 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haikuhusu
 
CHADEMA ni wakuwa Faris Kiburuhani.

...tukirudi kwenye mada, naona ni wakati muafaka tukamuondoa Dikteta Mbowe. 20yrs? Vijana chukueni fomu-hapendwi mtu. Nchi kwanza.
 
Haikuhu wewe uliza huko kwenu kwa nini form ya urais huko CCM inachapishwa moja
 
Ni wakumfaris kiburuhani.

Yaani 20yrs? Ni lipi jipya alilolileta? Sera zake binafsi za Kususa zimewagharimu Wananchi nafasi zao katika masuala mengi tu, ikiwemo KATIBA. Sasa nani asiyejuwa kwamba maamuzi ya kususia Bunge la Katiba lilikuwa la CHADEMA? ikiongozwa na Mbowe?

Fast forward, anachofanya ni yale yale, kutaka Wananchi wafuate sera zake Binafsi kwani anajua kabisa Aliwakosesha Wananchi Katiba mpya wakati ule na sasa anafanya kama redemption, kwa kushikilia bango ajenda binafsi na isiyo punguza makali ya karaa na njaa kwa Wananchi.
 
Anamuandaa mtoto wake kama yeye alivyoandaliwa na mtei!
 
very dangerous question within cdm 🐒
 
Uchaguzi au mazingaombwe mwenyekiti asiye na kikomo ni mbowe makamu lissu katibu mnyika wala msipoteze pesa kwenda tanga kufanya uchaguzi!
Nawe ni familia ya Mwakipande?,nitabirie mimi hawa maadui wangu since president Nyerere nitawaondoa lini,ujinga,umasikini,maradhi na cousin wao rushwa?,serikali ya ccm imenitawala 60 yrs na sikioni walichonifanyia
 
Umbeya HAUNA posho
 
Nawe ni familia ya Mwakipande?,nitabirie mimi hawa maadui wangu since president Nyerere nitawaondoa lini,ujinga,umasikini,maradhi na cousin wao rushwa?,serikali ya ccm imenitawala 60 yrs na sikioni walichonifanyia
Shika jembe ukalime!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…